Nyumba ya kupanga Mtwara

Nyumba ya kupanga Mtwara

Mugaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
413
Reaction score
201
Wana JF natafuta nyumba ya kupanga Mtwara, nahitaji vyumba viwili vya kulala na sebule.Napendelea zaidi maeneo ya Kiyangu.Ahsanteni.
 
Kama kweli uko interested kuna nyumba iko poa sana ya kisasa maeneo ya kwa jionee ligula b cheki na hii namba 0716 353 455 au 0784 461 705 . Mpaka jana ilikua haijpata mteja
 
Ahsante mkuu jamaa niliwasiliana naye ila nyumba yake ni kubwa kwangu.Nashukuru sana.
 
Ahsanteni nyote nashukuru nimepata nyumba.
 
Daaa nimekaa sana kota za kiangu Msalimie dada Vick hapo tech karibu na BNN hotel muulize vp biashara ya kitimoto bado anaifanya nataka nimuunganishe na wateja wapya
 
Dada Vicky bado yupo pale pale ila mimi si mteja wa ile kitu [emoji4]
 
Mkuu ni shangani apartment za jamaa mmoja wa moshi au ni wapi na bei zinaendaje mana jamaa anatoza kwa dola
Hapana mkuu, nipo kwenye nyumba ya mtu binafsi. Kodi zimeanza kushuka kampuni za gesi zimepunguza watu
 
Dada Vicky bado yupo pale pale ila mimi si mteja wa ile kitu [emoji4]
Sasa angalia usije pangishwa Nyumba kwa limo ukazama na Maji maana hyo mitaa ya kiangu ni noma kwa mafuriko hasa kwenye kota hzo ni hatari balaaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa Lyimo ni hatari mkuu, na hizi mvua ni shida.
 
Wasalimie wajomba zangu huko wambie mwaka huu korosho zao hawataibiwa sana kama miaka ya nyuma [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Vipi kuhusu Korosho zao? Hawakuibiwa tena? I mean ziliwatajirisha kuliko miaka ya nyuma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom