Recent content by msomi kutoka znz

  1. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Sina ujasiri wa kuacha kazi

    Usiache kazi
  2. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Sina ujasiri wa kuacha kazi

    Biashara zako haziyumbi sabbu unalo pato la uhakika kila baada ya siku 30 ofisini .ukishategemea biashara pekee kama kila kitu chako ikiyumba kidgo huwezi kuiokoa , ofisn ukiwepo katika nyakati hizo waweze chukua mkopo wa sacoss ama salary loan. Otherwise labda useme tu wewe ni maisha bora...
  3. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Main road tu, morogoro road, kisha chalinze msata ,, sichukuagi option za njia za vumbi zina cost sana miguu
  4. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Target: Dar morogoro , Morogoro Lushoto - Lushoto Dar
  5. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Goodride: Je, ni tairi bora kwa barabara zetu au tunadanganywa na bei yake nafuu?

    Sisi wenye gari za 4wd goodride tunaifunga tairi za mbele , nyuma tunaweka road cruza kwa ajili ya traction.
  6. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Movie za action na Animation zimepungua vibe

    Ni kweli ..2025 year end to this 2026 is the worst timeline kwa sisi wapenzi wa movie.. sequal zote zilizoendelea kwa kweli ni kama hamna kitu.. kwa sasa nimebase kwenye series chache tu kama landman .. day of the jackal.. pia kurudia movie za 2012 to 2021.. jack reacher, transporter, taken...
  7. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimekuwa huru baada ya kuishi nae miaka 12

    Kwani tangu lini saa tano usiku imekua usiku mzito,, kwa mawanume mtafutaji, kwa kazi zetu za kila siku na muda extra wa kupumzika na marafiki limit inabidi tu anagalau urudi nyumbani usilale nje .. urudi home kabla ya watu hawajaamka tu kwenda kwenye shuguli zao,, saa 9 saa kumi usiku sio mbaya.
  8. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania They're Cooked officially kuwatetea ni haiwezekani kabisa

    W MKUU anaulizwa kuhusu V4 he keeps on saying ,..guys ...guys ... kama yupo group discussion ya first year vimbwetani coet
  9. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN kuhusu mauaji ya Tanzania umekamilika, kuachiwa rasmi duniani kote Novemba 21, 2025

    Cnn ni balaa, yani muda wote huo walikua wanaverify zile taarifa za picha mjongeo, hawana kukurupuka .. wanafanya home work yao, wakija kukupa vithibitisho vya kiteknoljia huruki mzee
  10. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Meta data anapata original sender tu kwa receiver kupitia njia ambazo hazi encode hizo data na kuzi encrypt. Mfano nikutuma hio picha bila ya kupoteza property zake mfano via bluetooth, share file, infrafred etc. nikukutumia data kama picha au video via whatsapp haiji na propeterties zake ndo...
  11. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Naaam kaka mwaka mpya wa serikali hazina imekauka, wache tuchangie mapato
  12. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Charger ya dakika 10 hii hapa. Nimewaibia siri
  13. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Chid Benz amekua 'Pande la Mtu', tazama akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya

    Hio hela atakayolipwa baada ya hiio event na serikalo ndo itamrudisha huko huko. Na hii si tu kwa maneno yangu. Na recall moja ya speech alitoa pia kuwa alikua kaacha madawa yupo sober house akapigiwa simu kuna malipo yake ya october campaign yameingia akatoroka sober house 🤣🤣🤣
  14. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Sbt good milaege cars, good auction grade cars, mind you be foward wana third party agents. Ambapo hayo ya third party yanakuwa mabovu sana . Mengi wanaminya sensor za ubovu ukiagiza gari three months tu maugonjwa yote yanafumuka.
  15. msomi kutoka znz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    HM- from z to tz 2030
Back
Top Bottom