Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,789
- 3,254
mimi pia iliwahi kunikuta hiyo hali
Aliyekusababisha uwekwenye kifungo hiko je pia umejiweka huru naye.Ndoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
Demi nawe unakubaliana na hili?Hongera sana mkuu.
Hii ipo hadi kwenye mahusiano, mie na anco wako, yaani tunaishi km kundi la wahalifu, na miaka inakata ya anniversary,Inabidi mmoja ajifanye hajielew alafu nimegundua hautakiw kuwa serious yan mtu hata akirudi saa 5 usiku tulia jifanye usingiz mzito mtasalimiana asubuhi 😀😀
Sie wehuu eehNdoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
😂😂😂😂😂😂Ni kweli, wanawake wa sasa huwezi kuishi naye kibabe atachomoka tu. Wa zamani walivumilia ubabe, walipigwa sana tu lakini hawakuchomoka ndoani. Wa sasa hivi wanajiweza kiuchumi ukimzingua anakutoa baru, we mwenyewe utamkimbia tu kwa usaliti atakaokufanyia kukukomoa
Ha ha ha ha haKama unapenda uhuru wako kijana usikurupuke kuoa. Mimi baada ya wife kwenda na my son kula sikukuu nimepata uhuru ambao nimeupoteza zaidi ya miaka 5
Nlishaanza kulegeza msimamo ila kwa maoni haya ngoja niongeze mwaka moja wa kufanya upembuzi yakinifu.Kataa ndoa linda uhuru wako
Yaani nimechelewa kurudi nyumbani kwangu halafu uniulize nilikua wapi???😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu
Mimi sinahata huo mda wa kusalilmia mtu karudi saa saba usiku niache usingizi nihangaike na mtu anaetaka kupewa pole huwa anarudi mapema nyumbani kwake ninalala kma hakuna mtu kaingiaYaani nimechelewa kurudi nyumbani kwangu halafu uniulize nilikua wapi???
Nikifika unipe Pole kwa kazi sio nilikua wapi?
iNdoa ni kuishi na mwenza wako na kutatua matatizo ya kwenye maisha yenu ya ndoa,
Matatizo ambayo kama msingeoana hayo matatizo yasingekuwepo.
Team Muhammad vs team JesusTushafungwa goli na Wazee wa kataa ndoa ila hakuna namna ni kurudisha mipira kwa kipa tu..
Kwa hiyo ulivyo kula mkeka wa Beti ukaenda na kuoa 😁😁😁😁 uka jidai kuwa team Muhammad na kuikacha team Jesus.Ndoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
Tuko pamoja kaka, japo wajomba wame niambia huu Mwaka lazima waone ubavu wangu wa pili ulipo.Nlishaanza kulegeza msimamo ila kwa maoni haya ngoja niongeze mwaka moja wa kufanya upembuzi yakinifu.
Kwani tangu lini saa tano usiku imekua usiku mzito,, kwa mawanume mtafutaji, kwa kazi zetu za kila siku na muda extra wa kupumzika na marafiki limit inabidi tu anagalau urudi nyumbani usilale nje .. urudi home kabla ya watu hawajaamka tu kwenda kwenye shuguli zao,, saa 9 saa kumi usiku sio mbaya.😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu
Kwani tumekwambia tunataka kuongea na wewe au tumekutuma utuongelee??1. Vijana oeni acheni ujinga
2. Ili ndoa yako idumu, epuka kuweka mambo yako ya ndoa mitandaoni, mara kuwashirikisha mashost, rafiki, wachungaji na ndugu zako.
3. Ndoa ni muunganiko wa watu wawili (MKE NA MME) na si muunganiko wa umma
4. ndoa ni tamu kwa watu wawili wenye akili timamu wanaojitambua wanapoungana, lakini ni utumwa kama wakiwa wehu
5. ombea ndoa yako kwa imani yako kila iitwapo leo, ili ndoa yenu ifanyike baraka katika maisha yenu
6. epuka makundi ya laana yaliyoshindwa kuoa
7. epuka makundi ya wapiga nyeto (CHAPUTA)
8. Mwanaume muone mkeo kama kitu kipya kila itwaapo leo na mwanamke fanya hvo hvo.
9. kuna aina takribani nne za nanii, kuna kavu, majimaji, moto na baridi, ridhika na aina yoyote utakayokutana nayo.
10. ukipata changamoto mmalize nyie wawili tu ikishndkana tafuta wazazi pande zote yataisha (siyo ndugu)
11. TAFUTA PESA
HAPA NAONGEA NA WANANDOA NA WANAOTAKA KUOA, SIONGELEI HAWA WANAOSEMA NIPO KWENYE MAHUSIANO, NA SIONGEI NA MTOA MADA
Hapana mkuu sipo huko nilishavuka huo ujinga muda mrefu sana..Team Muhammad vs team Jesus