They're Cooked officially kuwatetea ni haiwezekani kabisa

They're Cooked officially kuwatetea ni haiwezekani kabisa

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,040
Reaction score
13,372
Nimefuta uzi naona nilichokisema wanaweza kukitumia kujustify uhalifu wao ,washinde mechi zao
Tuone mwisho wao maana kuna vitu kwa common sense tu unaweza viepusha , wameshauriwa sana hawakusikia
Let them cook

They are cooked officially
 
Mwigulu na wenzie wakina Msigwa kuanzie leo wazime maiki sio wanasogelea maiki kuongea ushubwada tumewachoka.. wakae kimya 9D muda sio rafiki wanajitetea ujinga wameharibu kwa kufanya mauaji mikono imejaa damu wanataka kujisafisha midamu yao wanaisafisha na nani?
 
Unaongea nini mkuu?

Unajaribu kuwapatia serikali feki mbinu zakudanganya watanzania?

Lengo lako ni kuona serikali feki inafanikiwa?

Mbona hoja yako inatia ukakasi? Usitutie hasira tafadhali mkuu.

Wewe inaonyesha ni mwongo mwongo?
 
Serikali ishapoteana mapema sana walishindwa kupangilia mambo yao kiufundi

Hili la kutaka kubadilisha mambo chini juu ni suala lisilowezekana kabisa wanajiaibisha sana na kuzidi kujichimbia shimo

Mbinu pekee wangetumia ni kunyamaza kimya wasingetoa pole wala kuzungumiza chochote wala ku admit chochote

Hili la kusema waandamanaji walikuwa wanasilaha ni uongo ambao hawawezi uingiza ktk hili jambo kwa sasa, ila wangefanya mchezo before 29 october

Wangetengeneza sinema au igizo kwamba kituo kikubwa cha polisi kimevamiwa na watu kuiba silaha na kuua askari wangetengeneza tu ka sinema fulani ile siku moja kabla ya tar 29 wangewasema kundi la magaidi wamevamia na kuiba silaha za kivita nyingi amabazo wangetoa tahadhari kwamba zingetumika siku ya maandamano

Huo uongo wangeutumia kufanya justification ya hayo mauaji waliofanya

Wangesingizia walikuwa wanapambana na magaidi wakauwa waandamanaji kwa bahati mbaya iyo wangepata pa kuchomokea but now it is too late

Ok walishindwa iko basi wangekuja na sinema kwamba wamekamata silaha haramu nyingi siku ya maandamano wangetengeneza sinema wangeact as a victim bas wangeweza kujustify walichokifanya

Sasa picha zimevuja hao waliokuwa kiraia wapo na polisi sehem moja unaruka vipi na kuwakataa Mwigulu you are cooked,

Uwezi sema ni wageni hauna hata raia mmoja wa kigeni aliekamatwa, wala alieuwawa, utasema walikuwa wangapi na wametorokaje ilihali kulikuwa na barriers kila mahala

Kauli zenu zimekuwa ni kujichnganya mara Ai mara hakuna alekufa mara nini mara vile hapo ndo mlikuwa cooked kabisa mmegundua ilo ndo mnamtanguliza waziri mkuu uyo afanye cover.

Mtu mwenyewe mliemtuma haonyeshi dalili ya kujiingiza katika izo ishu zenu taulo analojaribu kuwafunika keshaona haliwafuniki lina matobo kila kona ila ndo atafanyaje

Makaburi ya halaiki ni ukweli maana sioni akigusia wala kukataa maana kama si kweli basi wangetumia kujustify na ku admit they are victim

Miili ya watu bado ipo kuna dada mwili wake umepatikana jana ulikuwa monchwari ya kivule mtu alikufa Tabata

They are cooked officially
The truly missed opportunity was to postpone the general elections. The fazafaka would have had a free ticket to remain in power for two to three more years. After completing all desired electoral reforms, she would just stand down graciously!
 
Yan hii nchi hatuna wabobevu wa kucheza script za uongo
Na ndio maana wanajikuta wanajikanyaga katka maelezo yao
Anayeongea Leo akija mwenzake kesho anampinga aliyeongea jana
 
Tabia ya kudharau mambo, kwa kifupi hawakutegemea watu watatoka tar 29 kwahiyo hata hawakujipanga.
Exactly, hawakuamini watu watakuwa jasiri na kuandamana baada ya vitisho vingi na kutekana
 
  • Thanks
Reactions: naa
Unaongea nini mkuu?

Unajaribu kuwapatia serikali feki mbinu zakudanganya watanzania?

Lengo lako ni kuona serikali feki inafanikiwa?

Mbona hoja yako inatia ukakasi? Usitutie hasira tafadhali mkuu.

Wewe inaonyesha ni mwongo mwongo?
Hahaa temporary mazee nimeona wanapuyanga sana paka hawa ila wameshajipika
 
Back
Top Bottom