Sijaona kama ni jambo la msingi sana, tukiangalia nchi zilizoendelea haraka kiuchumi Uhuru wa siasa si jambo la msingi sana. Nchi kama Korea kaskazini wapo mbele Ila siasa sio cha msingi sana itatupotezea muda tyu, mfumo uliotumiwa na mtangulizi JPM uendelezwe au uboreshwe zaidi.
Ni kweli jamaa hajatumia uungwana kabsa, sema kajivunjia uaminifu mkubwa kwa watanzania. Ila sema anajua hatogombea tena ndio mana amejitoa mhanga kujichafua[emoji1787][emoji23]
Hapana kwa mtazamo wako napinga kwani kila Mtanzania anavipaumbele vyake vya kuangakia kwenye siasa, kwahiyo labda kuna vitu vinawavutia huko ndio maana wanatoa ruksa yao kwa chama hicho! Hapo vipi White Wizard[emoji848]
Ujumbe uwafikie wahusika , kama ni upinzani au watawala wachukue hoja hii Tanzania ifikishwe mahali wananchi tunapenda tufike[emoji1666] mtoa post big up kwako kwa kuliona hili kwenye vyama vyetu nchini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.