Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

Morogoro huko ifakara kuna bonge moja la daraja linaitwa Magufuli...huko wananchi miaka yao yote walikuwa wana kivuko kibovu na walikuwa wanalipia pesa.

Kwa sasa ni buuuuuuuuuuureeeeee gharama ya kipande cha mua kutembea huku unatafuna darajani.
 
Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa.

1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya?

2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji?

3. Kuna mkoa hauna mradi wa barabara?

4. Kuna mkoa hauna mradi wa umeme vijijini?

5. Kuna mkoa haujapata mradi wa ujenzi wa shule?

6. Kuna mkoa una machinga asiyetambuliwa?

7. Kuna mkoa haujengi viwanda?

8. Kuna mkoa haujapata pembejeo za kilimo?

9. Kuna mkoa haujapata fursa ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa?

10. Kuna mkoa hauna huduma bora za fedha?

Hayo ni maswali yangu machache kati ya mengi yenye kuhoji utekelezwaji wa Ilani ya CCM.

Tukumbuke kuwa wakati miradi kadhaa ikitekelezwa basi kuna miradi mikubwa na ya kimkakati inayoshika kasi tena kwa fedha za ndani.

1. Mradi wa SGR
2. Mradi wa kufua umeme
3. Manunuzi ya ndege
4. Mradi wa Maji
5. Ujenzi wa flyovers n.k

Rais Magufuli songa mbele wanafiki wanaombea uumwe!!
Mkoa wa Chato, na hii ni kwa kuwa hau 'exist'!😂😂😂!
 
Kwa hiyo Ruvuma mnayo airport na hospitali Kama ya Chato??

Kama Wangoni na Wamatengo akili zao ndiyo kama za martin ben basi no wonder Ruvuma inaitwa ngome ya CCM.
Kaulizie ticket ya ndege ya kwenda Ruvuma alaf uangalie kuna uwanja wa ndege? Acha kuongelea usichokijua, unafaidika nn kudanganya?
 
AWAMU ZOTE MIKOA HUPATA BAJETI HIVYO N LAZMA KILA AWAMU NA KILA MWAKA MIKOA YOTE HUGUSWA NA JAMBO.
SWALA NI JE JAMBO HILO LINAUZITO GANI NA UBORA GANI KUMWINUA MTANZANIA?
 
Nitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga

Tanga International Airport
Tanga referral hospital
Tanga Stadium 🏟 60,000 capacity
Tanga 5 star hotel
Tanga University
Tanga 5 km double road
Tanga veta
 
Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa.

1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya?

2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji?

3. Kuna mkoa hauna mradi wa barabara?

4. Kuna mkoa hauna mradi wa umeme vijijini?

5. Kuna mkoa haujapata mradi wa ujenzi wa shule?

6. Kuna mkoa una machinga asiyetambuliwa?

7. Kuna mkoa haujengi viwanda?

8. Kuna mkoa haujapata pembejeo za kilimo?

9. Kuna mkoa haujapata fursa ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa?

10. Kuna mkoa hauna huduma bora za fedha?

Hayo ni maswali yangu machache kati ya mengi yenye kuhoji utekelezwaji wa Ilani ya CCM.

Tukumbuke kuwa wakati miradi kadhaa ikitekelezwa basi kuna miradi mikubwa na ya kimkakati inayoshika kasi tena kwa fedha za ndani.

1. Mradi wa SGR
2. Mradi wa kufua umeme
3. Manunuzi ya ndege
4. Mradi wa Maji
5. Ujenzi wa flyovers n.k

Rais Magufuli songa mbele wanafiki wanaombea uumwe!!
Mkuu kafanya mambo mengi kiukweli! Tutamkumbuka daima JPM
 
Kaulizie ticket ya ndege ya kwenda Ruvuma alaf uangalie kuna uwanja wa ndege? Acha kuongelea usichokijua, unafaidika nn kudanganya?
Kea hiyo huo uwanja na ndege zimeanza kutua wakati wa Magu, na ndege za Magu, ndugu
 
Hujui km huo uwanja umepanuliwa na kufanyiwa ukarabati mwaka jana na umefunguliwa hivi karibuni.

Pili Ruvuma kuna uwanja wa ndege miaka mingi kabla ya Chato kwahiyo sioni sababu ya watu wa Ruvuma kuwaonea wivu wa Chato.
 
Yani mikoa mingine ipate miradi ya mabilioni halafu wengine tudanganywe kwa tu-Zahanati? Halafu unauliza swali?
 
Tanga International Airport
Tanga referral hospital
Tanga Stadium [emoji909] 60,000 capacity
Tanga 5 star hotel
Tanga University
Tanga 5 km double road
Tanga veta
Mmhhh ngoja tuone
 
Ile ni hospitali ya mission mjomba
Wanatibiwa akina nani?

Kingine usichokijua kuwa sasa hivi serikali ina share pale kwa hiyo kuna wafanyakazi wanaolipwa na serikali na wengine wanaolipwa na kabisa.
 
Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa.

1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya?

2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji?

3. Kuna mkoa hauna mradi wa barabara?

4. Kuna mkoa hauna mradi wa umeme vijijini?

5. Kuna mkoa haujapata mradi wa ujenzi wa shule?

6. Kuna mkoa una machinga asiyetambuliwa?

7. Kuna mkoa haujengi viwanda?

8. Kuna mkoa haujapata pembejeo za kilimo?

9. Kuna mkoa haujapata fursa ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa?

10. Kuna mkoa hauna huduma bora za fedha?

Hayo ni maswali yangu machache kati ya mengi yenye kuhoji utekelezwaji wa Ilani ya CCM.

Tukumbuke kuwa wakati miradi kadhaa ikitekelezwa basi kuna miradi mikubwa na ya kimkakati inayoshika kasi tena kwa fedha za ndani.

1. Mradi wa SGR
2. Mradi wa kufua umeme
3. Manunuzi ya ndege
4. Mradi wa Maji
5. Ujenzi wa flyovers n.k

Rais Magufuli songa mbele wanafiki wanaombea uumwe!!
Hakuna fedha za ndani kwenye hii miradi unayosema mingi ni grant kutoka mbele na mikopo ambayo inazidi kutunisha deni la taifa. Uwe unasoma hizi project zinazoendelea kwa kina, usidanganyike na maneno ya wanasiasa jukwaani
 
Back
Top Bottom