Mbowe, mkanye Lissu

Sidhani kama JPM anausika na kupingwa Risasi lissu. Kama ni hivyo basi atuna askari au TISS wa kijinga hivyo. Au washafukuzwa kazi.
 
Risasi, risasi mpaka lini? unapigwa risasi tukiwa watoto hadi tunapata umri wa kupiga kura, wewe bado unasimulia risasi! Kila siku kulia-lia tu! Mbona Ulimboka hatusikii akilia-lia na mkasa wa kutaka kuuwawa? Mandela je?

Hao ndo wakomavu! Hakuna kusimulia mambo ya kifungo, ni uimara wa akili na kuwa President. Hiyo akili ya Lissu ya kutaja risasi kila siku kwa miaka ya uhai wake haituoneshi uimara wa akili anayestahili kuwa President. Yeye ni mtu wa mitaani tu, akitafuta kulipiza kisasi.
Pumbavuuu kabisa unachukuliwa ka Malaya kako unataka kulipiza kisasi ijekuwa kutiwa Ulemavu? Acha kuwa mjinga kiasi hiki.
 
Pumbavuuu kabisa unachukuliwa ka Malaya kako unataka kulipiza kisasi ijekuwa kutiwa Ulemavu? Acha kuwa mjinga kiasi hiki.
Eti nini? malaya imekujaje hapa? Sikuzuii kumfuata huyo Lissu na akili yake. Endelea ila ujue huyo ni mbwa kichaa, wewe unafuata mkia wake! Utachoka tu maana huo mkia sijui utatulia lini! Mi nina kichwa changu bhana, tena asiniambie kitu sijui risasi zilipita makalioni, so what? I was a kid and now I am a potential voter. Nilichokiona mbele yangu ni flyover, SGR, umeme, Bodi ya mikopo and the likes!
 
Eti nini? malaya imekujaje hapa? Sikuzuii kumfuata huyo Lissu na akili yake. Endelea ila ujue huyo ni mbwa kichaa, wewe unafuata mkia wake! Utachoka tu maana huo mkia sijui utatulia lini! Mi nina kichwa changu bhana, tena asiniambie kitu sijui risasi zilipita makalioni, so what? I was a kid and now I am apotential voter. Nilichokiona mbele yangu ni flyover, SGR, umeme, Bodi ya mikopo and the likes!
Kwani Lissu anawaumiza nini? Muendelee na ratiba zenu, naye muacheni ya post zake!

Naona baba amefariki hasira zinataka kuhamia kwa Lissu.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Huo utamaduni wa kuungana na kuwa wamoja umeanza lini? Mbona wale ndugu zetu tuliowaokota kwenye viroba hamkuwa pamoja nasi? Mbona akina kwa akina Saa Nane na Azory mlituacha peke yetu tukijiuliza nini kimetokea na wakati huo ninyi wenzetu mligongesha glasi? Kutesa kwa zamu ndugu yangu. Ukigundua hilo kwamba matatizo ni yetu sote hutakuwa mstari wa mbele kumsababishia mwenzio maumivu. Si mlisema hicho ni Chuma, Jiwe?
sijawahi kushabikia uonevu was aina yeyote, hata hayo unayoyasema tuliyakemea sema tulipuuzwa kama mnavotupuuza sasa
 
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.

Tunakufikishia salamu hizi sisi watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.

Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.

Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.

Mwambie atakama anauchungu na kisasi kwa Yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.

Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?

Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentalman.
Kwani shetani akifa anakuwa malaika? Mwacheni lissu auseme uovu wa marehemu dikteta
 
Ushauri mzuri!
Tamaduni zetu ni kuheshimu maiti na wafiwa.
Alipaswa kutoa pole na kukaa kimya.
Nilishangaa zaidi alipoendelea kung'ang'ana kwenye vyombo vya nje kuwa corona ndio imemuondoa Magu na kwamba alifariki trh 09.
Sikuona mantiki yake.
Ni kweli aliumizwa lakini inabidi asamehe ama akae kimya.
Bado hajatufahamu watz vizuri?
Tayari ameshaharibu reputation yake.
Siasa inahitaji akili kubwa sana hasa kwa Tanzania.
Yaani Roma mkatoliki kamzidi saikolojia Lissu?
 
Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.

Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.

Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
Kwenye yale mabox ya wizi au yapi?? Kuna siku JPM aliwaambia mawaziri wake wazi kuwa wengi wao hawakuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi.
Lakini pia sifa kubwa ya watanzania ni ujinga uliokithiri, ukifuatilia kuanzia kwenye historia, kuna mambo mengi ya aibu.
 
Nimejiuliza sana maswali kuhusu hii behavior ya Lissu, ila jibu moja nililolipata ni kwamba Lissu anajua kabisa uhasama wake na JPM kwa kiasi kikubwa ndicho kilichompaisha yeye kisiasa. Hivyo haoni nini cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuponda hata Marehemu. Hii itamporomosha zaidi
Labda iwe ulikuwa unaishi kijijini ila TL ni maarufu sana hata kabla ya JPM.
 
Back
Top Bottom