Aina za vitambi na sababu zake

Aina za vitambi na sababu zake

Well, we can't speak for her, just let them.enjoy that body acha wivu ila sijui aliwaza nini, labda alihisi wakiingia kwenye ndoa atamsaidia kupungua

Ila pia we should not judge from our side, inawezekana miili mikubwa ndio swaga zake, kama tu vile kuna wanaume wanapenda miili mikubwa same applies to women, kuna wanaopenda mipande kama ya pita
Turudi kwako sasa, would you have made such a decision??? Be straight and truthful. Pitia ma file yako yote katika maktaba ya roho na nafsi yako, from your desires and admirations halafu unipe jibu. Usianze Oh inategemea kama nampenda au Oh sijui Kwioo.
 
You are crazy, honestly no, those bodies are not my swags.
 
You are crazy, honestly no, those bodies are not my swags.
Umeona sasa you being honest. Ila kuna wenzako wana roho ngumu sana, anafanya maamuzi magumu mpaka unajiuliza huyu amerogwa au vipi. Hebu mcheki huyu dada hapa dah.

20210531_172638.jpg
 
Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya kijamii.

Katika maisha yangu, sijawahi kusikia kuna mtu ambae ameamka saa 11 asubuhi, na kuweka nia ya kufanya juhudi kuongezeka kitambi, au kusema "nataka niongezeke kilo 100 safari hii" na kuonesha msisiitizo wa kuanza papo hapo kutekeleza hio nia.

Watu huanza kuwa wabaguzi pindi mtu anapopata kitambi au kunenepa, huanza kusema "ushakua bonge, wewe hivi, wewe vile". Ushauri, nani anajali? Ridhika na jinsi ulivyo tu. Tena kama vipi kiambie hicho kitambi "Naona umeanza kuchomoza mgeni, karibu sana, itabidi tu nikupende na nitakutunza kwa juhudi zoteee!"

Wengine hukimbilia kufanya "dayati", ila nimegundua dayati ni kwa ajili tu ya wale wanene waliouchoka unene wao. Kwani hakuna kitu kinacholeta mawazo potofu kama masaa ya kwanza ya kufanya dayati, siku ya pili hua afadhali ya jana.

Wengine hukimbilia kufanya mazoezi ya kukimbia masafa marefu, tatizo la mazoezi haya pale unapotambua kua mwili wako hauna shepu ya kukuunga mkono (yani kukusapoti) kuendelea kukimbia ujue ushafika umbali mrefu ambako kurudi tena ulipotoka hata kwa kutembea ni kasheshe, utaishia kupanda bajaji muda wa kurudi!

Kama hujachoka kitambi chako, mikono juu

NA HIZI NDIO AINA ZA VITAMBI

1) KITAMBI MCHUCHUMIO

Hiki kimekaa kama herufi "D". Eti kinatokana sana sana na kula michemsho na bia za ofa.
View attachment 866048

2) KITAMBI MTEPETO
Eti ni kitambi cha wastani hivi, kinakua kama tairi yenye pancha, ambacho mtu akivaa nguo panapana hakionekani. Hichi hakina madhara kwa mmiliki, kipo katika vile vitambi "least harmful" kabisa.
View attachment 1803461

3) KITAMBI MVURUGO
Hiki kitambi kimekaa kama herufi "0". Kinapatikana sana kwa kula kitimoto kushushia na bia.
View attachment 866050

4) KITAMBI MTUNGUO
Hichi wanacho sana wadada. Kina umbo kama yai vile. Kwa "dayati" hakitoki labda kwa maombi maalum ya kufunga.
View attachment 1803464

5) KITAMBI MBONYEO
Kitovu hakionekani. Eti kina sababishwa sana kwa kula "rushwa" ila akisimamishwa tu kazi, kinaisha chenyewe.
View attachment 1803448

Changia ya moyoni, kama huna cha kuchangia gonga "LIKE" kuwapa sapoti wenye ugeni!!!
Vitambi vingine ni uzembe wa kwenda haha kubwa!!
 
Hapana hajarogwa sema kila mtu ana preference zake kwenye mahusiano, hatufanani
Naona umeamua kuwa mwanasiasa sasa lol. Hivi umeitazama hio picha vizuri??? Umei zoom kisawasawa??? Kuna dalili yoyote ya preference hapo???.

Naweza kushika Biblia au Msaafu kupinga swala la chaguo hapo kwakweli.
 
Vitambi vingine ni uzembe wa kwenda haha kubwa!!
Vipo vitambi vya bahati mbaya. Kama hicho kitambi mchuchumio kinachokuja kwasababu ya mchemsho na bia za ofa.

Unapigwa ofa kila weekend, ngoma inaanza kujaa bila taarifa. Mara paap ngoma imejaa.
 
Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya kijamii.

Katika maisha yangu, sijawahi kusikia kuna mtu ambae ameamka saa 11 asubuhi, na kuweka nia ya kufanya juhudi kuongezeka kitambi, au kusema "nataka niongezeke kilo 100 safari hii" na kuonesha msisiitizo wa kuanza papo hapo kutekeleza hio nia.

Watu huanza kuwa wabaguzi pindi mtu anapopata kitambi au kunenepa, huanza kusema "ushakua bonge, wewe hivi, wewe vile". Ushauri, nani anajali? Ridhika na jinsi ulivyo tu. Tena kama vipi kiambie hicho kitambi "Naona umeanza kuchomoza mgeni, karibu sana, itabidi tu nikupende na nitakutunza kwa juhudi zoteee!"

Wengine hukimbilia kufanya "dayati", ila nimegundua dayati ni kwa ajili tu ya wale wanene waliouchoka unene wao. Kwani hakuna kitu kinacholeta mawazo potofu kama masaa ya kwanza ya kufanya dayati, siku ya pili hua afadhali ya jana.

Wengine hukimbilia kufanya mazoezi ya kukimbia masafa marefu, tatizo la mazoezi haya pale unapotambua kua mwili wako hauna shepu ya kukuunga mkono (yani kukusapoti) kuendelea kukimbia ujue ushafika umbali mrefu ambako kurudi tena ulipotoka hata kwa kutembea ni kasheshe, utaishia kupanda bajaji muda wa kurudi!

Kama hujachoka kitambi chako, mikono juu

NA HIZI NDIO AINA ZA VITAMBI

1) KITAMBI MCHUCHUMIO

Hiki kimekaa kama herufi "D". Eti kinatokana sana sana na kula michemsho na bia za ofa.
View attachment 866048

2) KITAMBI MTEPETO
Eti ni kitambi cha wastani hivi, kinakua kama tairi yenye pancha, ambacho mtu akivaa nguo panapana hakionekani. Hichi hakina madhara kwa mmiliki, kipo katika vile vitambi "least harmful" kabisa.
View attachment 1803461

3) KITAMBI MVURUGO
Hiki kitambi kimekaa kama herufi "0". Kinapatikana sana kwa kula kitimoto kushushia na bia.
View attachment 866050

4) KITAMBI MTUNGUO
Hichi wanacho sana wadada. Kina umbo kama yai vile. Kwa "dayati" hakitoki labda kwa maombi maalum ya kufunga.
View attachment 1803464

5) KITAMBI MBONYEO
Kitovu hakionekani. Eti kina sababishwa sana kwa kula "rushwa" ila akisimamishwa tu kazi, kinaisha chenyewe.
View attachment 1803448

Changia ya moyoni, kama huna cha kuchangia gonga "LIKE" kuwapa sapoti wenye ugeni!!!

Hiki kina air cleaner
1622480625905.png
 
Namwonea huruma kimwili, sawa sawa na Bajaji ikigongana na Scania mzinga wake.

Kwa unene huo huyu jamaa ana uwezo wa kumfikisha huyo dada wa watu uhuru peak??? Kwa mauno gani au kwa pumzi gani??. Hapo akipiga kimoja tu inabidi apate mwezi mmoja wa ku recover afya. Akienda viwili haki ya mungu hasimami, magoti lazima yatetemeke kama daladala limechomoka tairi. View attachment 1803591
Nimekuwekea picha ili uone ninacho maanisha mkuu.
Hili tumbo najiulizafa jamaa anaweza kufanya kweli ama anafanywa yeye.. (analala chali fimeli ndio anajihudumia)

Anawezaje kupiga mibabam?
 
Excuse you ma'am, i have travelled through madness to find me, so mischief is part of my charm.

Mke wake sio kwamba amenilalamikia, kwanza hata jina lake simjui. Ila for real i can feel that, i can feel her cravings and and and and and. . . . . .

Unajua hamna viumbe wenye roho ngumu kama wanawake, wana roho ngumu kweli katika hii dunia, wanawake wanaweza kupitia mambo magumu kuliko maelezo na wasiseme kitu (Mfano mama zetu) aka act kila kitu kipo okey.

Na mfano mzuri wa design hio ya wanawake, ni kama huyo mdada kufanya maamuzi magumu ya kuolewa na mume mwenye 150 KG's OF STRESS. She is way strong than any human being could be.

Hapo tusidanganyane eti kampenda vile alivyo. Money makes the world go around.
Hatuwezi jua labda mwamba ni fundi saana wa kupiga deki

Anamfikisha kwa kupiga deki ft mifinga

Hatuwezi jua labda mwamba ni fundi saana wa kupiga deki

Anamfikisha kwa kupiga deki ft mifinga

Naomba asije akatokea mtu akamshauri Peter Msechu kuhusu matumizi ya mkongo, utakua ni ushauri wa kipumbavu sana, maana tutampoteza Peter.
 
Kuna kitambi fulani kinapatikana sana TANGA, wilaya ya Muheza. Kinasababishwa na unywaji wa mnazi. Mmiliki huwa mwembamba na mabega choka mbaya lkn Kuna kakikitambi. Wamiliki wa hivi vitambi huwakosi kwenye vilabu vya ukuti.
 
Back
Top Bottom