Wakishua yule amekulia France.
Kaishi Ubelgiji maisha karibu yote, hata Kilingala anajua kidogo sana
Nanguruwe ipi, ya Mtwara DC au kule Masasi?!Huyu jamaa nasikia Baba yake amezikwa Huko Nanguruwe Mtwara. so ana vinasaba vya uTanzania
Ukiona hivyo anatokea jimbo jirani na kule Kinshasa, kule hawajui Kiswahili kabisa, na kwa kweli ni mbali sana kutokea mpakani na Tanzania.
Mungu HoyeeNyusi hoyeeeee!
Nalog off
Mkalimani Anajuta Sasa HiviAfadhali kaepuka ya Mkalimani!
Jaribu kumtafuta Rais mstaafu wa Mozambique Joachim Chissano umsikilize pale anapowasiliana kwa Kiswahili, utashangaa zaidi.
pia eneo lile la kambi ya twalipo hadi chuo cha uhasibu pote pale zilikua kambi za wakimbizi wa msumbiji na wanakarabati majengo bado yapo japo mengine yameendelezwaunaposikia TANZANIA NA MSUMBIJI NI NDG , hivi ndio viashiiria vyake. UHURU WA NCHI YA MSUMBIJI. ulipatikana kutokana na juhudi za chama cha FRELIMO kupiga kambi yake TANZANIA KAMA KITUO KIKUU CHA HARAKATI ZAKE , WALIKUWA NA KAMBI KUUBWA P[ALE MOROGORO ENEO LA Mazimbu, na kwa Dsm pale kilipo chuo cha Deplomesia ndipo ilipokuwa kambi yao. wamekaa muda mreefu saana tangu harakati hadi kupatikana uhuru , wameoa na kuolewa hapa. na hata baada ya kupata uhuru waliambiwa wanaotaka warudi, na kwao wasiotayari wabaki tu Tanzania. haya ndio majibu kwa mujibu wa ufahamu wangu juu ya swali lako.
Na kasoma shule ya msingi TunduruNi mzaliwa wa jimbo la Kaskazini kabisa la Msumbiji (Cabo Delgado); wanachunga mifugo hadi upande wa Masasi.
Pia Nyusi kapata mafunzo ya Kijeshi kambi ya Nachingweapia eneo lile la kambi ya twalipo hadi chuo cha uhasibu pote pale zilikua kambi za wakimbizi wa msumbiji na wanakarabati majengo bado yapo japo mengine yameendelezwa
Nyusi kasoma shule ya msingi Tunduru......then akarudi kwao cabo delgado na baadae akaja kuoata mafunzo ya kijeshi kambi ya Nachingwea so ni mtu aliyekulia mazingira ya kitabzania so Kiswahili rahisi kujuaAmezaliwa Masasi
Ameenda Mozambique akiwa mchanga
Ni kama Rais wa zamani wa Malawi Bakili Muluzi alikuwa Kabila moja na Hayati Mzee Mkapa, wote walikuwa Wamakua
... ila Tanzania mezalsha hawa watu. Kwa uchache waliowahi Tanzania ni hawa:-Na kasoma shule ya msingi Tunduru
waliokaribu na ukanda wa pwani yetu, na mto ruvuma, sababu kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya mtwara na ruvuma na kwao....Watu Wa msumbiji wengi wanaongea kiswahili niliona hara mkuu Wa majeshi na mkuu Wa mesh LA polis wanaongea kiswahili fasaha kabisa utafikili wabongo.sio kama wakenya
Mtwara DC. siku moja nitaleta vielelzo vya kutoshaNanguruwe ipi, ya Mtwara DC au kule Masasi?!