Recent content by Msikilizaji

  1. Msikilizaji

    Wema Sepetu Gambani

    Samahani naomba mnijuze cheo cha dada Wema please huko CCM
  2. Msikilizaji

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    "nyani haoni ........."
  3. Msikilizaji

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Haiba ya Kanumba ilimruhusu na kumwezesha ku-act na diverse age actors it was natural hakutumia nguvu it was in him, that is why he was cherished. Sasa je, Ray anayo hiyo?
  4. Msikilizaji

    Invitation kama hii ungeielewa vipi?

    Nilifikiri nimeisoma na kuelewa vibaya, but in my opinion kama you are opening a place ni vizuri uka-invite watu wa aina mbali mbali because si wa South Africans tu ndiye watakae fika hapo.
  5. Msikilizaji

    Invitation kama hii ungeielewa vipi?

    Ndugu wana JF, Ungkuwa wewe umepokea invitation ya namna hii ungeielewa vipi? Dulce Cafe has recently opened their first store overseas in Dar es Salaam and we would love our South Africans residing in Dar to join us for breakfast tomorrow morning at 9h00. We are situated in the Atlantis...
  6. Msikilizaji

    Riz 1 ndani ya uwanja wa taifa

    Kaka huwa tuna sema "in such a way"
  7. Msikilizaji

    Mamluki mia moja wabainika kupewa viwanja

    Bila kuchakachua maafa hayana maana kwa wachache
  8. Msikilizaji

    Urais: Anne Makinda anafaa

    Jaribu kumchagua uone moto wake, wengine wako kwenye majuto sasa hivi ya uchaguzo waliofanya 2010
  9. Msikilizaji

    Its My Wedding Annivesary

    Wow RealMa, you must be Mr. Man kwa unavyo mjali wie wako! Hongera sana kaka, kwa kweli wachache sana wako na mapenzi kama yenu! Tell us what did you get her this time around. :A S wink: ili wengine wajifunze kutoka kwako. BIG UP BRO!!
  10. Msikilizaji

    Wadada je yanawakuta haya????

    Lizzy,kwani amesema ili awe nae kwaajili ya kumnunulia vitu? nilivyomuelewa mimi nikwamba the guy should not jealous nor angry and he should be responsible notexpecting her to do everything
  11. Msikilizaji

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    Na hao watoto huko shule kwani wamefuata kusoma dini ya kiislam? Kama tatizo ni kanisa kuwa jirani basi watafute shule za kiislam wasome hapo. Wangegoma toka mwanzo waseme hawataki kwenda Ndanda maana hapo karibu na shule kuna kanisa watu tungewaeelewa, lakini wanagoma after several years of...
  12. Msikilizaji

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    Jamaani mimi naomba kuuliza kwa wenzangu ex-Ndanda, kwani hi shule ya Ndanda si imekuwepo miaka yote? na wapo waislam kibao ambao wamesoma hapo? mbona hizi vurugu za kutaka kujenga mskiti hazikuwepo? na kama kujenga watajenga wapi? Maybe kule kwenye mazizi ya ngombe kama bado yapo maana...
  13. Msikilizaji

    Shock as engaged couple discover they are brother and sister just before wedding

    I would not like it to happen to any person, that is why we are suppose to get parents involved in early stages of a relationship at least your mother, cause mom's are more understanding.
  14. Msikilizaji

    Haya Ndio Yanayompeleka"ga" Huko!!

    No comments, picha inatia hasira lakini at the end of the day unaona bora ucheke tu :lol:
Back
Top Bottom