Shock as engaged couple discover they are brother and sister just before wedding | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shock as engaged couple discover they are brother and sister just before wedding

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Nov 4, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Shock as engaged couple discover they are brother and sister just before wedding

  An engaged couple who dated for five years have been left in turmoil after their families met and they discovered they were brother and sister.

  The woman, who is due to give birth next month, is devastated by the discovery that the father of her child is her brother.

  The couple, who met at university, had decided they wanted to introduce their single parent families to each other before they got married.

  But at the meeting it emerged they were brother and sister who had been separated as small children.
  The unnamed South African couple are still in shock after making the discovery last Saturday.
  Read more »
   
 2. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,670
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ngumu kumeza

  i cant imagine to be in the shoes of the brother, sa hiyo ndo kufa kuoza
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  That is sad, but both parents to be blamed.
   
 4. Msikilizaji

  Msikilizaji JF Gold Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I would not like it to happen to any person, that is why we are suppose to get parents involved in early stages of a relationship at least your mother, cause mom's are more understanding.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Je, itakuwa vipi kama tayari walishaonjana na labda ujauzito tayari?
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,528
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  mh! Haya ni mambo ya vichekesho vya King Majuto. Nalog off
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,674
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ungeisoma hii habari usiuliza maswali haya....
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wazazi wanastahili lawama kubwa sana, walipanda mbegu na kuziacha zikue kama miti ya porini
   
 9. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Unajua watu wengine wanasoma title tu, wamemaliza. Mbaya zaidi wanadiriki na kutoa comments. Bora usome title na ukae kimya.
  Nakuunga mkono RR, angesoma habari nzima asingeuliza hivyo. Tuache uvivu wa kusoma jamani. Tena hapa kuna lesson to be learned. Wazazi wamechangia huo mkanganyiko. Wazazi tukigombana, tusiwahusishe watoto kwenye ugomvi wetu. Na hata tukifarakana, tusiwanyime watoto haki yao ya kufahamiana.
   
 10. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160

  Raabu na kosa la wazazi! However angry they might be waachanapo WATOTO HAWAKUOMBA kuzaliwa! Wazazi tuwe wakweli kwa wanetu na kuwajuza nani ndg zao (hata kama mapenzi yetu yamekwisha) UNDUGU WA WATOTO na NDUGU ZAO HAUPOTEI/KUFA KWA MAMA na BABA KUTOELEWANA
   
 11. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Waendelee tu...washaharibu!
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,418
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  nalaumu wapenzi! hyo miaka 5 ya dating hawakuulizana historia ya familia zao?
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kweli hapa wazazi are to blame lakini hao wachumba nao 5 yrs hawakuwahi kusimuliana story za familia?kwani walikuwa mbali na familia zao kiasi hakuna siku waliweza kwenda home pamoja?
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hii inanikumbusha jamaa yangu alitoka mkoa akapata kazi ya uwalimu Jitegemee walianza uhuriano na dada yake mtoto wa mama yake mdogo bila kujua, wakafikia hatua jamaa anaenda kutambulishwa upande wa mwanamke ndiyo ikajulikana na ndugu kwakuwa mpenzi yalishakuwa yamestawi sana na walishafanya mapenzi basi ilibidi lishughulikiwe kimila ambopo mbuzi alichinjwa na mama wa binti (mama mdogo wa jamaa) akaukana ukoo alikozaliwa hivyo kuvunja undugu baina ya wawili hao.
   
Loading...