Recent content by msham

  1. M

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Bila shaka huyu jamaa ni mganga wa kienyeji wanaowadanganya watu. Saizi hana wateje anaona kama Babu ndiye kamharibia dil. Pole sana tafuta kazi nyingine watu wamepata mponyaji wa kweli. Hongera babu na uishi milele.
  2. M

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    Ingekuwa busara sana, hata hao wachache wawili wangeachia ngazi. Naunga mkono hoja
  3. M

    Zantel High Life Club SUCKS

    Natumia moderms ya Vodacom, haina shida yoyote kwa speed, coverage na cost. Nilishatumia ya Zantel na Airtel matatizo yake sitaki tena kuyarudia. Am now settled.
  4. M

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Nitashangaa kama baadhi ya watu hawataachia ngazi hata kwa jambo kama hili. Ni maboom yanaendelea kulipuka hadi sasa. Eti wanatushauri tukakae mabondeni wakati hata hawasemi yataisha saa ngapi. Jamani hii ni serious sana wananchi hawana cha kufanya wala hamna directions zozote za maana kutoka...
  5. M

    Polisi apigwa risasi na kufa

    Mimi niko Arusha, habari tulizozipata ni kwamba wale walikuwa ni majambazi na wameiba kwenye duka la jirani na pale idara ya maji. Wakiwa wanaondoka wakamwona askari na wakahisi anaweza kuwadhuru, kujiwahi wakaamua kumpiga risasi. Yule askari alikuwa akisubili wenzake ambao pia walikuwa wapo...
  6. M

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Kwa taarifa tu hata hayo maandishi hajapeleka, Speaker anapingana na kanuni. Ni lazima awasilishe kwa kuongea sio maneno. Nyie CCm acheni upenzi usio na maana angalieni fact. Waziri hawezi kudanganya sisi tusio na pakusemea tukae kimya na walio na pakusemea pia wakae kimya. Huo utakua ni upuuzi...
  7. M

    Naomba Kujua Elimu na GPA ya Jakaya Kikwete!

    Do this is serious, 2.1 president?
  8. M

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Safi sana, hawawezi kutuona wote sisi ni wapuuzi kwa kutaka kuchakachua kambi ya upinzani bungeni ili yote iwe CCM
  9. M

    Hivi hakuna kabisa uwezekano wa chadema kutengeneza kambi moja ya upinzani??

    Nadhani CUF ndo chama kinachofuatiwa kuwa kwa CDM kwa ukubwa, Shida yao wamejiunga na CCM ndo maana inakuwa taabu sana kwa CDM kuwatambua na kuungana nao> hilo liko wazi kabisa.
  10. M

    Serikali yafunga kesi ya Mramba na Yona

    Nilivyosoma kwenye michuzi pia ilinishangaza na kunikasirisha sana. Lakini baadaye nikaelewa kwamba kesi haijafutwa ila kwa upande wa serikali ushahidi umekwisha sasa tunasubili amri ya mahakama kuamua kama watuhumiwa wana hatia ama la? huo ndo uelewa wangu jaman.
  11. M

    Kashfa nyingine nzito kwa Polisi Arusha

    Du> Tumwombee huyo derava apone kwanza, kisha tuanze libeneke lingine na huyo mtuhumiwa
  12. M

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Nchi yeyote yenye wananchi makini na uongozi makini haiwezi lipa pesa kama za dowans. sana sana kitu ambacho kingekuwa kinaongelewa hapa ni kuwajibishwa kwa viongozi wote waliohusika na hii mikataba ya kijinga kama ya Dowans.
  13. M

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    Jamani Uhuru ni gazeti gani??? kumbe bado lipo? Makamba asibwatuke hovyo sio Watanzania wote wasiosoma, Kuna watu na elimu zao> anajidhalilisha. Bora afunge mdomo kuliko kujibu hoja za watu wa Mungu.Tena asiwatishe awaache wafanye kazi zao kwa uhuru.
  14. M

    Polisi Arusha wameaibika..

    Ukweli ni busara na hekima nyingi kuanzia Mwema, Andengenye na Zuberi wakijiuzuru
  15. M

    Chadema hawajakiuka maadili?

    Mhogo mchungu umeshasema ni dharula, dharula yenyewe ndo hiyo.
Back
Top Bottom