Recent content by Msenyele

  1. Msenyele

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wana % ngapi crdb Sasa hivi?
  2. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa kupiga window 10 anayepatikana Shinyanga

    Njoo Simiyu, nitakufanyia discount ya sikukuu
  3. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua maana ya kabambalu

    Kijipu, sukuma language
  4. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kero kubwa ni pale unapotaka kubadili kifurushi hadi upige customer care, kumbukeni kuna mama zetu vijijini hawalijui hela na matokeo yake mtu alikuwa na kifurushi cha juu anataka arud cha chini mnamhesabia siku. Huu ni wizi uliotukuka. Rekebisheni hapo ili mtu akiweka anaenda automatically...
  5. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Watalam wa umeme msaada katika hili

    Mimi nimefunga solar na umeme katika njia moja japo kwenye tv peke yake kwa kuwa solar yangu ni ndogo ku supply nyumba nzima. Unakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:- 1. Inverter- kubadili DC to AC 2. Exchange switch- hiki ni kifaa cha kutenganisha umeme wa tanesco na wa kutoka kwenye inverter, unaweza...
  6. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Spare ya ZEC 40-23MT27-MAB2LG inapatikana wapi?

    Mkuu nataka main board yote kama ilivyo kwenye picha maana ilipiga shot
  7. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Spare ya ZEC 40-23MT27-MAB2LG inapatikana wapi?

    Nilipeleka kwa fundi kwa ajili ya kubadilishwa IC ya sound bahati mbaya ikawa imepigwa short. Mwenye nayo au anayeweza kujua zinapopatika anijuze maana Mwanza nilizunguka mji mzima sikupata. Jukwaa hili naliamini na natumaini nitapata, naomba kuwasilisha.
  8. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Nimeikopi na kupaste habary ya Bwana Aron na jibu alilowahi kupatiwa
  9. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Naomba nikujibu ifuatavyo...Aaron Tuanze na utawala wa kipapa Utawala huu unatambulika nchi ya vatican na kwa kanisa katoliki la Roma pekee(hakujawahi kua na utawala wa papa kwa dunia nzima). Labda kwa faida ya wengi nkupe historia kidogo ya falme zilizowahi kutiisha dunia. 1.Ufalme wa babeli...
  10. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    HII NI SEHEMU YA MWISHO SASA TUANZE NA AYA HII... “Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule. Wakamsujudu yule JOKA kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsuju yule mnyama, wakisema NI...
  11. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Inakuaje hiii, kuhusu kuwa na mpenzi wa kike anayekuzidi urefu

    Duh, hakuna kugegedana?
  12. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Well said
  13. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Tecno Y6 ni feki au ina tatizo jingine?

    Habari za leo wanajamvi? Bila shaka mko njema kabisa baada ya kumaliza shughuli za hapa na pale, hasa ukizingatia asubuhi ndo inatoa picha kamili ya siku. Turudi kwenye mada, simu tecno y6 takribani miaka mitatu sasa. Wakati simu zinazimwa sehemu ambapo line ya voda ilipoteza network na...
  14. Msenyele

    JamiiForums Tanzania Bajaj Boxer BM 150 new model

    Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini. Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
Back
Top Bottom