Recent content by msaneza baby

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona inbox za mke wangu

    Hivi vitu vinashabihiana mwanaume hivyo hivyo msili na majina yalivyoseviwa Sas funding bomba,mpaka rangi, ukimfanyia mwenzako na wew yatakukuta tu,(what goes around comes around) ndio utakapojua kuwa sio vizuri kuchiti ila ikifika zamu yako au yake mkali simba hafai
  2. M

    JamiiForums Tanzania My best gospel song ever

    Kiukweki sio uzungu Mimi napenda nyimbo zinazipigwa kama band nasikia raha kuxisikiliza,namkubali john lisu,upendo nkone ,olso gospel choir, kirk Franklin,Vicki yohe,Darlene zsches,Joyous celebration,Don Moen etc
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

    Haaaa kulala uchi ugenini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

    Kunguni bila maji moto Hadi ,wana roho ngumu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Umeniacha hoi nikakumbuka poli la asante nyerere,na malagalasi,yaliwakuta watu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar badilikeni

    Ukweli bila chenga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitampataje mchumba wa kizungu?

    hizi swaga nimeZIPENDA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora upige punyeto au ununue malaya?

    sawa kabisa na wew sio mungu hujakamilika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

    unaakili sana....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

    kunguru wamoja huruka pamoja uhuni ndio umewakutanisha
  11. M

    JamiiForums Tanzania HAI, KILIMANJARO: Hukumu ya kumlawiti mwanaye yamfanya ajiue kwa kunywa sumu

    Pesa yanunua watu itashindwa kuua, haiingii akilini kweli mtuhumiwa kanywa sumu yeye kaitoa wapi kama muda wote alikuwa mahabusu,kuna kitu nyuma ya pazia#
  12. M

    JamiiForums Tanzania Saudia: Amuua daktari wa kiume kwa kuuona utupu wa mkewe wakati wa kumzalisha

    Ukishikwa na uchugu kama ni muuguzi wa kiume huzai,acha mwembwe ukibanwa unaachia mwenyewe kwani anakipeleka wapi si anakusaidia kukutibu halafu anasepa zake,think twice brother or sister
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kufanya mapenzi giza totoro kunanoga kuliko wote mkikodoleana katika mwanga?

    Wakati unamfata hukujua Kama ananyonyo Kama bibi,vichekesho
Back
Top Bottom