My best gospel song ever

Ta...ta ra ta ra ta taa
Ta..ta ra ta ra ta taa
Righteousness,.. peace...joy in the Holy Ghost..
Righteousness peace and joy in the Holy Ghost that's the Kingdom of God..
Don't you wanna be a part of the Kingdom x3
C'mon everybody...

There is joy in Kingdom, there is peace in kingdom wow.... I love the lyrics
 
Uzungu unawazidi nyie sikilizeni ""ipo faida ""ya upendo nkone

Kiukweki sio uzungu Mimi napenda nyimbo zinazipigwa kama band nasikia raha kuxisikiliza,namkubali john lisu,upendo nkone ,olso gospel choir, kirk Franklin,Vicki yohe,Darlene zsches,Joyous celebration,Don Moen etc
 
Niambie ulizonazo afu nicheki mie ninazo nyimbo zao nyingi tu
Mdau ningeomba msaada unitumie kwa pm nyimbo zao zote ulizokuwa nazo unisaidie maana mimi nilichukua live performance yao nitashukuru sana aise
 
Mkuu nipm namba yako nitakutumia kesho whatsapp
Mkuu siko huko zaidi ya jamii forum aise naomba msaada wako ata pm ama link nidownload maana siku ya leo yote nimekua nangojea hizo nyimbo sababu nawakubali sana hawa vijana wa rwamba fanya unisaidie aise kiongozi!!!!!!!!!
 
Mkuu siko huko zaidi ya jamii forum aise naomba msaada wako ata pm ama link nidownload maana siku ya leo yote nimekua nangojea hizo nyimbo sababu nawakubali sana hawa vijana wa rwamba fanya unisaidie aise kiongozi!!!!!!!!!
Mkuu zipo kwenye laptop kutuma kwa huku nadhani itanicost ndo mana nikaomba namba afu jamaa nyimbo zao ngumu kuzipata udownload hata youtube wameweka chache sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom