Nitampataje mchumba wa kizungu?

Nitampataje mchumba wa kizungu?

Unamuunganishia kwa hela??
Hapana,sasa hela ya kulipia Match.com anaiwaza sasa nikumuunganisha na hao watu then akihitajika kuonana naye nchi flani si ndo itakuwa balaa,let say ni M-thai,Mmarekani au mfilipino akihitaji aende kwao itakuwaje?and swali atakaloulizwa baada ya kufahamiana siku mbili tatu litakuwa what do you do for living,wakisikia am still looking mara blah blah, watamkimbia tu lazima
 
Hapana jaman, tucdhalilishane. Si kana kwamba cna hela ya registration, navuta tu subira coz waswahili walishasema "mambo mazuri hayataki haraka" Registration fees zao si kubwa coz kwa miez 6 ni $137.94 na kwa miez mi3 ni almost $77 tu. VISA card pia ninayo so cwez hangaika kufanya online payments
 
Ni ya kulipia as I saw huko kwa mange walioko nje wanaweza kikujuza zaidi

Yes nmeona fees zao. Km nikiona kufanya online payment kwa mimi mwenyewe inanizngua ntamtafuta Mange aweze kunisaidia
 
Yes nmeona fees zao. Km nikiona kufanya online payment kwa mimi mwenyewe inanizngua ntamtafuta Mange aweze kunisaidia

Ntakufanyia bure kwa visa card yangu km utahitaji wewe utatoa tu ile amount hisika. Labda km watachaji direct cost za visa card
 
Sio kosa lako! Waafrica wengi sana bado tuko kwenye utumwa wa akili!!!!
Nenda zanzibar au mahoteli ya kitalii.
Kama unatafuta website nenda google
 
Habari wadau! Mimi ni kijana wa miaka 27, Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakini sijui nianzaje.

Nahitaji awe wa rangi (race) zote Dunianiisipokuwa Mwafrika (mweusi). Kwa yeyote anayeijua website au link yoyote itakayoniwezesha kupata msichana mzungu naomba anisaidie.
mkuu ingia kuna website moja inaitwa www.datanta.com kaz kwako sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom