Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,185
Jipe moyo utaumia kila siku kwa wanawake wa siku hizi.huo ni ujinga uliopita viwango kwa sasa nikioa tena siwezi kukubali upumbavu huo
ili iweje kwann
kuna siri kubwa kama sehemu za siri ambazo naziona kila siku
sembuse nisishike simu yake au asishike yangu
huo ni ujinga tuachane na mambo hayo huyu ni mkeo/mumeo si mpenzi
huo usemi bahari hailindwi ni ujinga