Recent content by Msaka njia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jana na leo yamefanyika matumizi mabaya ya rasilimali za serikali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu, usitusahau kwenye sala zako tuliobaki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu, na sisi Mungu atatusaidia tutapata wote humu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Imepita shwaaa kama kindege cha aviator.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema, hakika Mungu ni mwema tutapata wote humu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana hakuna mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huwa anagusa trh 21 anarudi nyuma tena dah!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakika mkuu, Mungu mkubwa tutalamba asali.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu. Nafurahi kuona watu wa huu uzi wanatoboa, hii inatupa nguvu tuliobaki.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Waendelee tu kuzimwaga watufikie na sisi wa May mwishoni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mungu ni mwema tutalamba wote.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    PDF 6 hadi sasa 🙌
Back
Top Bottom