HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
 
why do we verify document

Importance of following up selection process during admission

Essential information found on university guidebook

Challenges you expect as an admission officer

(Lugha n tofauti kidogo).. maswali ya oral admission officer nactvet
Mimi si wa kada hii ila ningepata vipoint kadhaa kwa maswali haya kwa kutumia general knowledge tu ha ha ha hongera mkuu utakuwa ulifanya vyema
 
Yah mkuu, mwnyw sio mtu wa kozi hiyo ila hayo maswali nitaambulia hata 50% 😂 labla hilo swali la pili ndo sijui kitu
 
why do we verify document

Importance of following up selection process during admission

Essential information found on university guidebook

Challenges you expect as an admission officer

(Lugha n tofauti kidogo).. maswali ya oral admission officer nactvet
Hongera mkuu
Kumbe ulifika oral hii admission
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Dah! Mkuu Jumah JR ni jana tu tulikuwa tunapeana moyo kuhusu kuwa na imani na subira, hatimaye leo imetimia. Hongera sana ndugu yetu, nasi tupo njiani tunaamini siku moja tutaingia huko
 
Back
Top Bottom