El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,048
- 6,413
aisee ule ukijani kuupata ni habari nyingine...
Ukiupata utuambie.aisee ule ukijani kuupata ni habari nyingine...
unaupataje sasa.pdf la leo si umeliona yaani haina haja ya kuscroll ukifungua tu unalona lote...Ukiupata utuambie.
Kadhi na hutu tunathonga mbere!
TUvute subiraunaupataje sasa.pdf la leo si umeliona yaani haina haja ya kuscroll ukifungua tu unalona lote...
Muda utafika tu pia maisha yanaendeleaTUvute subira
Mdogo mdogo Mungu atatenda
Some of us men are building from scratch. No connections, no inheritance, no handouts. Just God, blood, sweat, and pure luck. If you're one of us, please heart this.La kinoko au sio teh teh
Tunamiliki imani tu huruma kwa nchi kama Tanzania kutegemea imani maana utakuwa disappointed mpaka unaingia kaburini.... Ila hakuna kukata tamaa kwasababu asie kata tamaa hana tamaa.!! 🙏🏾🙏🏾Some of us men are building from scratch. No connections, no inheritance, no handouts. Just God, blood, sweat, and pure luck. If you're one of us, please heart this.
BILA KUCHOKA🙌🏾TUvute subira
Mdogo mdogo Mungu atatenda
Huko kwenye taasisi kubwa wameenda Kama Tutorials au wamebadilishiwa kazi?Kuna wanangu wawili mwaka jana waliingia oral ya tutorial assistant chuo kimoja hivi Dar. Wao walitoswa kwani alihitajika mtu mmoja tu, mwezi May mwaka huu wamepata placement taasisi kubwa tu za serikali Kupitia database sababu ya hio oral ya tutorial assistant.
Ubaya wa hii kitu ni kuwa Ajira mpya AKIINGIA anamzidi salary mzoefu mwenye D.Ebhanaeeh Hizi movements baada ya muda kozi zote itabidi zianzie E
🤣 🤣 🤣 aisee hata kavu..Tusaidiane machaka ya kuhamia wadau.
Yawe na ahueni ya kuokota chochote kitu walau allowance mbili tatu.
Maana duh! huku tuliko hali ni ngumu. Ofisi hata chai tu hakuna
Ukiona ofisi mtu ananunua bagia za mia Tano ndio anakunywea chai au mwingine kabeba vipande vya mihogo kutoka nyumbani ogopa sana. Hapo pakame utavaa kadeti hadi inapauka🤣 🤣 🤣 aisee hata kavu..
🤣 🤣 🤣 halmashauri nini?Ukiona ofisi mtu ananunua bagia za mia Tano ndio anakunywea chai au mwingine kabeba vipande vya mihogo kutoka nyumbani ogopa sana. Hapo pakame utavaa kadeti hadi inapauka
Mimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.🤣 🤣 🤣 halmashauri nini?
yaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogoMimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.
Jamaa yangu yuko halmashauri moja ni afisa manunuzi. Mwaka wa tatu kazini kakutana na ujenzi wa madarasa ya mama hela za Covid. MRADI umeisha na yeye ana nyumba ya 80M na IST juu.
Madogo wengi hawajui haya mambo