Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Leo tena IT kasogea mpaka tarehe 21 May. Kesho msishangae akarudi May 18 tenaKwa pdf zipi,?
Leo tena IT kasogea mpaka tarehe 21 May. Kesho msishangae akarudi May 18 tenaKwa pdf zipi,?
🤣🤣🤣Asali ni Asali mkuu.
Ubora na Quality vinatofautiana.
Very boring 😞Leo tena IT kasogea mpaka tarehe 21 May. Kesho msishangae akarudi May 18 tena
Yan IT kurudi 18 May ni kugusa tu kaka..Leo tena IT kasogea mpaka tarehe 21 May. Kesho msishangae akarudi May 18 tena
🤣 🤣 hongera kaka. mie lini sasa..?WADAU NIMEANZA KUFANYA INTERVIEW MWAKA 2022 NA NIMEFANYA INTERVIEW 5 NA INTERVIEW MOJA TU,NDIYO NIMEINGIA ORAL NA HIYO HIYO NDOYO IMENIPATIA KAZI.
NAWASHUKURU WADAU KWA KUTUTIA MOYO HAKIKA MAOMBI YANALIPA,MWIFA SHUKRANI BRO NILIKUFATA UKANIPA MOYO SANA.
WADAU SIAMINI MJUE COZ NILIPATWA NA KIWEWE KWENYE ORAL ILA NILIJIBU VIZUT JAPO NGELI ILINIKIMBIA KIDOGO ILA SIKITOKA NJE YA MCHEZO NA HATIMAYE NIMEPATA.
TUSIKATE TAMAAA
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema, hakika Mungu ni mwema tutapata wote humu.WADAU NIMEANZA KUFANYA INTERVIEW MWAKA 2022 NA NIMEFANYA INTERVIEW 5 NA INTERVIEW MOJA TU,NDIYO NIMEINGIA ORAL NA HIYO HIYO NDOYO IMENIPATIA KAZI.
NAWASHUKURU WADAU KWA KUTUTIA MOYO HAKIKA MAOMBI YANALIPA,MWIFA SHUKRANI BRO NILIKUFATA UKANIPA MOYO SANA.
WADAU SIAMINI MJUE COZ NILIPATWA NA KIWEWE KWENYE ORAL ILA NILIJIBU VIZUT JAPO NGELI ILINIKIMBIA KIDOGO ILA SIKITOKA NJE YA MCHEZO NA HATIMAYE NIMEPATA.
TUSIKATE TAMAAA
wewe utapata mwezi huu alafu nimesahu kaka wewe ni mmoja wa watu ambao umenifanya niwe kwenye huu uzi baada ya kuona kiwa hujakata tamaaa,nami nikawa naiga sana hiyo tabia ahsante sana sana sana.🤣 🤣 hongera kaka. mie lini sasa..?
amiiinHongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema, hakika Mungu ni mwema tutapata wote humu.
ahsanteHongera san mkuu karibu kweny utumishi wa umma
amna noma ndugu yangu pamoja sana.kila la heri..wewe utapata mwezi huu alafu nimesahu kaka wewe ni mmoja wa watu ambao umenifanya niwe kwenye huu uzi baada ya kuona kiwa hujakata tamaaa,nami nikawa naiga sana hiyo tabia ahsante sana sana sana.
endelea kutokata tamaa mungu anakuandalia mema
Hongera sana sana mkuu.....Mungu hachelewi sikuzote......inaleta hamasa na kutia moyo...WADAU NIMEANZA KUFANYA INTERVIEW MWAKA 2022 NA NIMEFANYA INTERVIEW 5 NA INTERVIEW MOJA TU,NDIYO NIMEINGIA ORAL NA HIYO HIYO NDOYO IMENIPATIA KAZI.
NAWASHUKURU WADAU KWA KUTUTIA MOYO HAKIKA MAOMBI YANALIPA,MWIFA SHUKRANI BRO NILIKUFATA UKANIPA MOYO SANA.
WADAU SIAMINI MJUE COZ NILIPATWA NA KIWEWE KWENYE ORAL ILA NILIJIBU VIZUT JAPO NGELI ILINIKIMBIA KIDOGO ILA SIKITOKA NJE YA MCHEZO NA HATIMAYE NIMEPATA.
TUSIKATE TAMAAA
ngeli huwa inaleta mambo ya kishenzi mule ndani.sjui ni kwanini...Hongera sana sana mkuu.....Mungu hachelewi sikuzote......inaleta hamasa na kutia moyo...
Umenipa moyo hiyo maana ngeli yangu mara 2 mfululizo imetoka ikiwa ya kichanga sema naimani Mungu atafanya
boss ujue point na kujiamini tu,me nilishindwa kabisa mpk nikaambia just mentin zilizobakia ila sikutaka kuwa hivyo nikajibu zote al hamdulillah...usiwaze utapangiwa.Hongera sana sana mkuu.....Mungu hachelewi sikuzote......inaleta hamasa na kutia moyo...
Umenipa moyo hiyo maana ngeli yangu mara 2 mfululizo imetoka ikiwa ya kichanga sema naimani Mungu atafanya
unaweza shangaa anarudi reverse mpaka mwez wa nneIT aendelee kuchekecha Zaid ya June watu walambe😂😂