Huwa anagusa trh 21 anarudi nyuma tena dah!Naona IT amegoma kutoka hapo mkeka wa mwisho trh 18 may, kila siku ni mwisho trh 18 may.. IT sogea kidogo bas hata ufike mwezi wa sita . Labda na sisi tunaweza kula mshahara wa mwezi wa saba.
Kuna PDF jipya la leo?Leteni shuhuda wakuu.
Hapana hakuna mkuuKuna PDF jipya la leo?
mpaka Jana ni pdf za walimu tu, sijui hizi taasisi nyengine zitafikiwa lini. Kuna taasisi ilitoa Tangazo mwezi wa 11 , interview tukafanya 5 juni , apo sijui pdf la kazini itachukuwa mda GaniHuwa anagusa trh 21 anarudi nyuma tena dah!
Labla wanamaliza kabisa la MEI 18 kisha aje laHuwa anagusa trh 21 anarudi nyuma tena dah!
Hahahah ni sahihi😁Kumbe mtu akilamba asali, uki search jina lake google unaletewa mkeka wake ukiwa full. Kweli hakuna siri.
Ngoja tusubiri, Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Mkuu usijali tuendelee kumtumainia Mungu tu wakati wetu upo karibu, nasi tutapiga kelele za shangwe
Na hiyo ndio njia rahisi ya kuangalia kama umelamba asali au la bila presha. Unaandika tu jina lako, kama upo utakuta search results ya kwanza imeandikwa "Sekretarieti ya ajira",halafu "Tangazo la Kuitwa kazini". Hapo kinachobaki ni kujua taasisi au halmashauri uliyopelekwa tu.Kumbe mtu akilamba asali, uki search jina lake google unaletewa mkeka wake ukiwa full. Kweli hakuna siri.
Kumbuka kuna watu majina yanafanana kila kitu , majina yote matatu yanafanana. Hapo kitu cha uhakika ni kwenye account tu.Na hiyo ndio njia rahisi ya kuangalia kama umelamba asali au la bila presha. Unaandika tu jina lako, kama upo utakuta search results ya kwanza imeandikwa "Sekretarieti ya ajira",halafu "Tangazo la Kuitwa kazini". Hapo kinachobaki ni kujua taasisi au halmashauri uliyopelekwa tu.
Watu wa 18 May 2025 tu awajaisha aisee nafas kam 380+ lakin adi now wamepangia watu kam 100+Labla anamaliza kabisa la MEI 18 kisha aje la
24-05-2025 hadi 18-06-2025
Hahaha kama mimi wa tarehe 18 mwezi wa sita mbona inabidi niwe mvumilivu mnooo... 😄 😄Naona IT amegoma kutoka hapo mkeka wa mwisho trh 18 may, kila siku ni mwisho trh 18 may.. IT sogea kidogo bas hata ufike mwezi wa sita . Labda na sisi tunaweza kula mshahara wa mwezi wa saba.
Hapo unahitaji kuwa mvumilivu na maombi mengi.Hahaha kama mimi wa tarehe 18 mwezi wa sita mbona inabidi niwe mvumilivu mnooo... 😄 😄
Uwezi jua labla watakuita mapemaHahaha kama mimi wa tarehe 18 mwezi wa sita mbona inabidi niwe mvumilivu mnooo... 😄 😄
Hakika mkuu japo najikuta kila day naingia ajira portal wakati najua kabisa mimi bado kwanza hahahaaa...Hapo unahitaji kuwa mvumilivu na maombi mengi.
Ila Mungu mwema tutafikiwa wote.
Yeah kabisa siwezi jua,,, japo MUNGU afanye wepesi kwakweli maana daah mtaani kunazalilisha.Uwezi jua labla watakuita mapema
Shukran mkuu. MUNGU atawafungulia njia na nyie🙏Hongeren wote mnaoebdelea kuitwa kwenye utumishi wa umma tunawatamani sana wakuu. Hongereni sana Mungu akatoe kibali juu yenu cha kuwatumikia wananchi
Sasa ukitumia Gemini inakupa maelezo hadi ya taasisi nyingine ulizowahi kufanya usaili na ukafaulu.Na hiyo ndio njia rahisi ya kuangalia kama umelamba asali au la bila presha. Unaandika tu jina lako, kama upo utakuta search results ya kwanza imeandikwa "Sekretarieti ya ajira",halafu "Tangazo la Kuitwa kazini". Hapo kinachobaki ni kujua taasisi au halmashauri uliyopelekwa tu.
Amina. AleluyaHongeren wote mnaoebdelea kuitwa kwenye utumishi wa umma tunawatamani sana wakuu. Hongereni sana Mungu akatoe kibali juu yenu cha kuwatumikia wananchi