Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Hongera kwa kuuaga ujobless mkuuNgoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
Hongera kwa kuuaga ujobless mkuuNgoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
Shukran san mkuuHongera kwa kuuaga ujobless mkuu
Hongera sana sana mkubwa..Ngoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
Hongera sana mkuu. Nafurahi kuona watu wa huu uzi wanatoboa, hii inatupa nguvu tuliobaki.Ngoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
ZOte ni neema zake Mungu.Hongera sana mkuu. Nafurahi kuona watu wa huu uzi wanatoboa, hii inatupa nguvu tuliobaki.
Hakika mkuu, Mungu mkubwa tutalamba asali.ZOte ni neema zake Mungu.
Tusichoke kusubir na Kumuomba MUNGUHongera sana mkuu. Nafurahi kuona watu wa huu uzi wanatoboa, hii inatupa nguvu tuliobaki.
Tusichoke kusubir na Kumuomba MUNGU
Ulifanya lini usaili mkuu?Tusichoke kusubir na Kumuomba MUNGU
Shukran san mkuuHongera sana sana mkubwa..
Ahsante san mkuuHongera sana mkuu. Nafurahi kuona watu wa huu uzi wanatoboa, hii inatupa nguvu tuliobaki.
Tareh 13 mayUlifanya lini usaili mkuu?
Hakika mkuu, Mungu mkubwa tutalamba asali.
Hongera Sana mkuu karibu kwenye Utumishi wa umma 👏👏💪Ngoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
Mpak chat GPT😅😅Kumbe mtu akilamba asali, uki search jina lake google unaletewa mkeka wake ukiwa full. Kweli hakuna siri.
Shukran san mkuu atimae sasaHongera Sana mkuu karibu kwenye Utumishi wa umma 👏👏💪
Aiseeeeh hiyo imenitisha zaidi. Nimeona taarifa za mtu X huko Chat Gpt japo sio accurate ila zinakaribia ukweli kwa 70%.Mpak chat GPT😅😅
Hii ni kwel mkuu😁Kumbe mtu akilamba asali, uki search jina lake google unaletewa mkeka wake ukiwa full. Kweli hakuna siri.
eHii ni kwel mkuu😁
Mkuu usijali tuendelee kumtumainia Mungu tu wakati wetu upo karibu, nasi tutapiga kelele za shangweNaona IT amegoma kutoka hapo mkeka wa mwisho trh 18 may, kila siku ni mwisho trh 18 may.. IT sogea kidogo bas hata ufike mwezi wa sita . Labda na sisi tunaweza kula mshahara wa mwezi wa saba.