Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Naona wameamua kuvuta pumzi kwanza. Huenda watarudi na pdf za maana.Mungu ni mwema tutalamba wote.
Naona wameamua kuvuta pumzi kwanza. Huenda watarudi na pdf za maana.Mungu ni mwema tutalamba wote.
Raia wanalishana matango pori.Nacho jiuliza itasomaje not selected for oral interview wakati uliingia kwenye oral interview??
Ukimya wa jana haukuwa wa bure
Waendelee tu kuzimwaga watufikie na sisi wa May mwishoniNaona wameamua kuvuta pumzi kwanza. Huenda watarudi na pdf za maana.
Hawa walioitwa kazini leo wanaweza kuanza lini kupokea mshahara wao wa Kwanza ?Waendelee tu kuzimwaga watufikie na sisi wa May mwishoni
Hawa walioitwa kazini leo wanaweza kuanza lini kupokea mshahara wao wa Kwanza ?Sijajua timing yangu ilikuaje, ila vimefika vyote kwa pamoja.
Mkuu nimepewa taarifa ña mtu aliyeona pdf ndio nikaingia kwenye account nikakuta barua aral nimefanya TAREHE 18 mwez wa 5Mkuu kipi umetangulia kukipata kati ya update ya barua kwenye akaunti yako na PDF?, na je, vimepishana kwa muda gani?
Asante sana kiongoziHongera mkuu
Huu mwaka ma jobless umekuja na baraka sanaHizi habari zinafurahisha sana, hongera sana mkuu mdogomdogo mpk wote tulete ushuhuda
Bado mtaimba No reforms No elections ?Huu mwaka ma jobless umekuja na baraka sana
Wale wenye sifa msiache kuongeza received, msiache kuhudhuria saili pindi unapoitwa, komaa hadi ufike oral. Usikate tamaa
Mkuu sina taarifa za uhakika nisijenikakulisha matango pori.Hawa walioitwa kazini leo wanaweza kuanza lini kupokea mshahara wao wa Kwanza ?
Kuna mlamba asali mmoja namsikiliza anilipe pesa ya nauli niliyomkopesha wakati anaenda kwenye usaili.
Naona manesi wametangaziwa ajira buku nne!AJIRA PSRS KUNAWAKA KAMA MTI WA KRISMASI.
Asante sana mkuu. Mungu akupiganie upate aisee.Mkuu nakuonea wivu sana!! Kwa kweli hongera sana, sisi bado tunaendelea kusikilizia zamu yetu
hongera sana mkuu pdf za leo zimepunguza foleni angalau..Atimae Leo Niko hapa kumshuhudia Mungu ukuu wake atimae nimelamba asari msikate tamaa wapambanaji Sina hata mda MREFU kwenye huu uzi
Watu wa Rasilimali watu wakiwa serious July jamaa watapata mshahara.Hawa walioitwa kazini leo wanaweza kuanza lini kupokea mshahara wao wa Kwanza ?
Kuna mlamba asali mmoja namsikiliza anilipe pesa ya nauli niliyomkopesha wakati anaenda kwenye usaili.
Nakubali ndugu yangu wewe unaramba kabla mwez huu kuisha MDAs wanamwaga ukoDaah hongera Sana Mkuu ngoja na sisi tuendelee kusubiri intake ijayo👏