HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Round hii wadogo zetu sijui mmekuwaje! Hivi hapo usichoelewa ni Nini? Wameshakwambia hadi tarehe 28 maana yake tarehe 10 ipo ndani yake. Kinachofanyika wanaangalia kwanza kwenye uharaka then ndo waje kwa wengine, ndo maana unakuta mtu amefanya oral mwezi wa 2 au 3 anapata placement leo.

Hebu tulieni wadogo zetu! Round hii wote mtapata kazi!
Kumbe ndo huwa wanamaanisha hvyo
 
Usihofu sisi zilikuwa 17 , oral tukaenda 150 lakini mpaka saiv washaita watu zaidi ya 80 ... fanya usaili hata kama nafasi ni moja huwezi jua..

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Wana hofu sana! Sijui wanahofia nini ikiwa kila kitu kitakuwa sawa. Kitu pekee wasichokijua ni kwamba mwaka huu ndio mwaka ambao wengi watapata kazi kuliko kipindi chochote!
 
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Hongera sana mkuu, na sisi Mungu atatusaidia tutapata wote humu.
 
Nashkuru mungu nimeona barua, interview yangu ya kwanza nimepata placement, japo nilifanya oral nyengine 2.

Niwatoe hofu wale wazee wa app, kwenye app status ilikuwa blank hatimae Leo nimepokea placement.
Hongrera sana mkuu. Ni kada gani na Oral Interview ulifanya lini?
 
Nashkuru mungu nimeona barua, interview yangu ya kwanza nimepata placement, japo nilifanya oral nyengine 2.

Niwatoe hofu wale wazee wa app, kwenye app status ilikuwa blank hatimae Leo nimepokea placement.
Hongera sana mzee wa app😀😀 ukawe mtumishi mwema
 
N
Nashkuru mungu nimeona barua, interview yangu ya kwanza nimepata placement, japo nilifanya oral nyengine 2.

Niwatoe hofu wale wazee wa app, kwenye app status ilikuwa blank hatimae Leo nimepokea placement.
Hongera sana mkuuuuu, shuhuda zinazid kuongezeka
 
Nashkuru mungu nimeona barua, interview yangu ya kwanza nimepata placement, japo nilifanya oral nyengine 2.

Niwatoe hofu wale wazee wa app, kwenye app status ilikuwa blank hatimae Leo nimepokea placement.
Hongera Sana mkuu karibu kwenye kulitumikia taifa
 
Back
Top Bottom