HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄.
Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili.
Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.
Hahahaaa kaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli au mwanetu ulishawai kutwa na makosa ya criminal hapo zamani kidogo #joke.. 😄 😄
 
fcdac16188410949ab8df79ef7e885c9.jpg
 
Bado ndiomana nimeuliza kwa wadau kama kuna yeyote ameona labda placement Letter kwa account yake labda kuna tukio laja maana ukimya wa admin unatisha.
Siku 3 kimya , unaweza kuwa IT ameshamaliza list za placements alizopewa.
 
Kwamba ukiwa kwenye Database kuna notifications unapewa kua upo kwenye database kwa hio usisumbuke kuomba kazi na kutumia pesa kufanya usahili mwingine au hapo anamaanisha nini?
Anamanisha wanafanyia kazi issue ya kuona hali yako ya ufaulu wa Oral.
Ili ujue kama ulikandwa ama uko kwenye foleni ya kanzidata.
 
Anamanisha wanafanyia kazi issue ya kuona hali yako ya ufaulu wa Oral.
Ili ujue kama ulikandwa ama uko kwenye foleni ya kanzidata.
Kwani km ukiwa hujawa placed si inasoma not selected for placement au inasoma vipi mkuu?
 
Sasa ile ndio kila kitu kina majibu ya maswali yako kama umefail oral

Unaandikwa NOT SELECTED
Kama umefauru SELECTED
apo upo data base.....

We ivizie
Hio inakua hivyo baada ya Oral au baada ya placement kutoka? Kama umefaulu yaan inaendelea kusoma SELECTED for Oral au inasoma SELECTED for Placement au inaandikwa tu SELECTED basi?
 
Hili ni kweli kabisa nilipiga oral ya tutorial assistant kwenye app nikaandikiwa not selected mpaka leo sijaona kitu
Upo sahihi uki fail tu baada ya oral unakutana na NOT SELECTED
Unajua apa nijipange upya.....
Pia usikate tamaa endelea kujaribu ipo siku watakaa kwenye mfumo wako....
 
Back
Top Bottom