Ualimu mgumu sana kila MTU anataman kutoka hii ni kutokana kutothaminiwa na maafisa Elimu,waratibu ukienda Boman ukiwa na Shida lazma utishwe Mara lete barua ya ruhusa,Mara Mbona hujachomekea Afisa anayekwambia kavaa suti na sendors, kupanda daraja unaandika barua mwez January inajibiwa november...
kipindi kama hiki kwa mwanamke hujiingiza kwa nguvu kukomoa matokeo yake anazalishwa na kutekelezwa sasa Wewe Mkuu muwazie mapungufu yake kichwan kwako usiwaze hata kdogo mazur yake jitukane kwamba MTU amenisalit Alaf nataka niendelee nae haiwezekaniii m mkali kuwa makin unaweza jikuta unagonga...
Mfano serikali ikaboresha mahitaji yote ya walimu wa sayansi Je walimu wa lugha ya kufundishia endapo hawatawajibika ipasavyo unaweza kufundisha hiyo Science? zaidi tutapata wataalam wasiojua lugha hata hivyo vifaa vya kizungu au kichina watatumiaje?ndo hao badala ya kufanya opereshen ya mguu...
Tunaelimishana Mkuu wala sijapaniki,Ni hivi suala la nyie kujihusisha na taaluma ya maabara ni miongoni Mwa majukumu yenu wewe hapo ulipo una fani zote Mwalimu ni Daktari,kumpatia huduma ya kwanza mwanafunzi anapoumwa,ni hakimu kusuruhisha migogoro,ni mhasibu nk. sasa baadhi ya shule huajiri...
Hapo ni hongera Mkuu lakini hao waendesha Bodaboda wangeanza kubaguana kuwa waendesha Bodaboda aina ya boxer,T better hawatafika.kiujumla ni kupaza saut kwa pamoja
Haya ndiyo yanayofanya walimu tudharaulike eti "WALIMU WASAYANSI" ivi wewe Mwalimu wa sayansi peke yako mwanafunzi atafikisha GPA ya 1.6 kuwa na sifa za kujiunga kidato cha tano au kujiunga na health certificate?kikubwa tuungane Walimu wote na kujaribu kupaza sauti kwa pamoja na ukumbuke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.