Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Tarehe 28-12-2015 ambayo ni J3 Ruvu watakuwa wamemaliza rasmi koz yao.
Source ni luteni usu wa hapo Ruvu JKT nimeongea nae leo.
 
Mimi ninavyojua kuingia kwa watu JKT haina mfumo ulio rasmi kwani 2014 watu walijiunga mwezi wa tatu na wakamaliza mwezi wa tisa, 2015 watu wamejiunga mwezi sita na wanamaliza mwezi wa 12 mwishoni, mwaka 2013 watu walijiunga mwezi wa pili.

sasa angalia hiyo trend, wanachokifanya JKT ni kuepuka watu kuwepo wengi kwenye kambi za malezi kwa muda mrefu sana.
OPERESHENI MUUNGANO waliojiunga 2014 mwezi wa tatu wamebaki kama 60% kwenye kambi za malezi na mafunzo (ambao hawajapata nafasi kwenda kozi za ajira) na mkataba yao inaisha mwezi wa tatu mwakani 2016, wanaomaliza mafunzo mwezi wa 12 mwaka huu 2015 wataongeza idadi ya wanaotaka kutunzwa kwenye kambi zote.

mwisho mimi naona hakuna uwezekano wa watu kujiunga na JKT kwa miezi hizi minne kuanzia Januari 2016....tuweni wavumilizu
 
Labda nikufahamishe tu ndugu Jeshi kama jeshi halina ratiba maalum na intake ya 2014 walioingia nafasi zilitoka mwezi wa 12 tar 25 sikukuu ya xmass na mwezi wa pili tu walireport vikosini na jkt kama jkt haina upungufu wa kambi za malezi kama dhana yako inavyosema OP kikwete ndio washaapa leo hvyo bado baadhi ya kambi tu kwa dharula so OP Magufuli soon watareport kama unaipenda jkt jiandae muda ndio huu, Nawasilisha
 
Nenda kwa msajili wako wa mgambo. Fuatilia kwenye mkoa wako maana usaili ni kimikoa Poti. Uvumilivu pumzi maji mengi
 
mbona hamuulizii nafasi za police???? au magereza???

Hauwezi kuingia polisi, askari magereza au hata game ranger bila kupitia JKT. Kwahiyo vijana wako kwenye right track
 
Hiv nafasi zitatoka mwezi huu kweli? Au ndo mwez wa 6 kama mwaka Jana..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom