Mfano serikali ikaboresha mahitaji yote ya walimu wa sayansi Je walimu wa lugha ya kufundishia endapo hawatawajibika ipasavyo unaweza kufundisha hiyo Science? zaidi tutapata wataalam wasiojua lugha hata hivyo vifaa vya kizungu au kichina watatumiaje?ndo hao badala ya kufanya opereshen ya mguu wanafanya opereshen ya kichwa
Mfano serikali ikaboresha mahitaji yote ya walimu wa sayansi Je walimu wa lugha ya kufundishia endapo hawatawajibika ipasavyo unaweza kufundisha hiyo Science? zaidi tutapata wataalam wasiojua lugha hata hivyo vifaa vya kizungu au kichina watatumiaje?ndo hao badala ya kufanya opereshen ya mguu wanafanya opereshen ya kichwa
Duh mie hua nawahurumia walimu wa MATHEMATICS maana wanaToil balaa....Vipindi vyao ni vingi alafu kila siku alafu lazima wasahihishe madaftari ngoja yaje matokeo ni Mabovu balaa....Ili kundi la walimu wa math kwakweli liangaliwe upya maana mzigo wanaopiga ni zaidi ya wabeba mizigo
Ualimu mgumu sana kila MTU anataman kutoka hii ni kutokana kutothaminiwa na maafisa Elimu,waratibu ukienda Boman ukiwa na Shida lazma utishwe Mara lete barua ya ruhusa,Mara Mbona hujachomekea Afisa anayekwambia kavaa suti na sendors, kupanda daraja unaandika barua mwez January inajibiwa november Saiv ni Kupambana hakuna wa kumwogopa dai haki yako.
Mimi nafikiri walimu wa science kila mara ni wenye kujiona duni na hawajivunii au kukubali career yao Na wamekuwa wakijihisi wakosaji mpaka wameingia ualimu kiukweli hili lina undermine elimu yetu kwani kila Teacher haswaa aliepiga Pcb , A level basi plan yake ni kuchomoka walau akasome clinical officer au Pharmacy yani mguu mmoja ndani mwingine hii sio nzuri eliminishaneni mbadilike
Ni kwel mkuu, mimi pia, napanga kuchomoka nikapige CO,Mimi nafikiri walimu wa science kila mara ni wenye kujiona duni na hawajivunii au kukubali career yao Na wamekuwa wakijihisi wakosaji mpaka wameingia ualimu kiukweli hili lina undermine elimu yetu kwani kila Teacher haswaa aliepiga Pcb , A level basi plan yake ni kuchomoka walau akasome clinical officer au Pharmacy yani mguu mmoja ndani mwingine hii sio nzuri eliminishaneni mbadilike
How wanatudumaza? Sayansi ni innovation & discoveries as well as research and publications. Sasa kama mnaishia kukariri zile principles, rules na balancing equations is more likely history in science. Fanyeni publication, andikeni paper and gundueni vitu. Bora hata walimu wa arts wanaandika hata mistari like Mimi ni mgumu naishi kwenye dumu and alike!!nawashangaa sana Mwalimu wa sayansi.
umeteseka sana. niny ndio mnawadumaza walim wa arts
Ndugu yangu acha kujidhalilisha,hivi ni chuo gani kikuu kinadahili mtu mwenye hiyo div.4?Tulia hivyo hivyo ulivyo wewe mwalimu wa sayansi. Hayo ndo malipo yako ya kutofanya vizuri darasani, ungejipatia div 1 or 2 usingekuwa mwalimu. Wewe ni mwalimu tu kama alivyo mwalimu wa uraia, kuswahili na sayansi kimu, kibaya zaidi una div 4.
Nimekupandisha basi mkuu una div 3Ndugu yangu acha kujidhalilisha,hivi ni chuo gani kikuu kinadahili mtu mwenye hiyo div.4?
Wakati mwingine sio lazima uchangie mada!!!
Kweli wewe ni mwizi,ngoja nikuache tu,lakini nikujze tu,kuwa kuna watu wana div.two zao,tuliingia huku kwa mapenzi mema kabisa na taaluma hii,lakini mwisho wa siku tumejikuta tumetelekezwa na wanasiasa wasiojali elimu,ndiyo maana katika post yangu nilisema wazi kuwa serikali yetu ya awamu ya tano imeonesha wazi kuzingatia utaalamu zaidi kuliko siasa,kwa hiyo ni muhimu kushirikiana nayo kuboresha elimu yetu.Nimekupandisha basi mkuu una div 3
Umenena vema mkuu, uliingia huko ikiwa ni kutekeleza wajibu wako sasa uache masuala ya kujiita mwalimu wa sayansi pale uteteapo masilahi katika kazi yako. Walimu wote mna haki sawa, ndani ya viongozi wa CWT wamo wanasayansi hivyo wanafahamu vema kufikisha haja zenu. Unaposema muunde umoja wenu kama walimu wa sayansi na uwe na nguvu kama ilivyo CWT huko ni kupotoka kwani baada ya hapo mtaamua muunde umoja wa walimu wa physics tu wenye nguvu sawa na CWT, hamtaishia hapo ata Biology, Geography, Chemistry, Mathematics, Kiswahili......watataka kuunda umoja kwa kila somo tena wenye nguvu ileile ya CWT. Kuwa makini kijana, ni vema kama maoni yako yangekuwa ni kuwakutanisha walimu wa sayansi na kujadili yanayowakabili ili myapeleke CWT ili wayafanyie kazi, hili la kuunda umoja mwingine si sahihi, kwa wadhifa nilionao ningebahatika kukutana na wewe lazima ningekucharaza viboko.Kweli wewe ni mwizi,ngoja nikuache tu,lakini nikujze tu,kuwa kuna watu wana div.two zao,tuliingia huku kwa mapenzi mema kabisa na taaluma hii,lakini mwisho wa siku tumejikuta tumetelekezwa na wanasiasa wasiojali elimu,ndiyo maana katika post yangu nilisema wazi kuwa serikali yetu ya awamu ya tano imeonesha wazi kuzingatia utaalamu zaidi kuliko siasa,kwa hiyo ni muhimu kushirikiana nayo kuboresha elimu yetu.
Na ukumbuke kuwa endapo kila mtu atakimbia taaluma ya ualimu,tutajikuta tuna taifa la ajabu kuliko unavyoweza kudhani,tafakari kwa kina ndugu yangu.