hahahaha ni yule RSM wa ccp nyati daah yule mtaalam wa karatee mw.l wa judo alikuwa na biti za kufa mtu akishirikia na gadafi mtigandi na machumu lazima apepee raia hahaha kawimbo ka nyati wakati wa mabiyo jamani nyati nyati ni msengeeee jamani nyati ni nikamanda jamani nyati anakimbia nakutinginyika [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hahaha hapo upo kibosho road saa tisa unatokea main gate kuingiria liagateWewe Nkanga subiri ajira zako za walimu.
Mbona unaongea sana wwhahahaha ni yule RSM wa ccp nyati daah yule mtaalam wa karatee mw.l wa judo alikuwa na biti za kufa mtu akishirikia na gadafi mtigandi na machumu lazima apepee raia hahaha kawimbo ka nyati wakati wa mabiyo jamani nyati nyati ni msengeeee jamani nyati ni nikamanda jamani nyati anakimbia nakutinginyika [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hahaha hapo upo kibosho road saa tisa unatokea main gate kuingiria liagate
unataka nn kukitwaMbona unaongea sana ww
Tunasikilizia......Makamanda mbn mmepoa sana
Ngoja tusikilizie mwezi huu tunawezaitwa labdaTunasikilizia......
Gadafi ni hatar,kilowoko maneno,nyati jembe,mushi mtero na mbushi ndo fungakazihahahaha ni yule RSM wa ccp nyati daah yule mtaalam wa karatee mw.l wa judo alikuwa na biti za kufa mtu akishirikia na gadafi mtigandi na machumu lazima apepee raia hahaha kawimbo ka nyati wakati wa mabiyo jamani nyati nyati ni msengeeee jamani nyati ni nikamanda jamani nyati anakimbia nakutinginyika [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hahaha hapo upo kibosho road saa tisa unatokea main gate kuingiria liagate
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] hahahahah ulikuwa ulikuwa combania gani babu nilikuwa b coy kwa sir major mtigandi na machumu boy nilikuwa nalala nyambizi boys karibu na fence ugoro kama kawa kwa bibi masawe ila yule jamaa wa HQ chanua kijiji alikuwa noumaaa na kuna mzee wa farmer ukimuona tu unaanza kuimba mimi kurutaah mimi kurutaaaaah anafurahi kinyamaGadafi ni hatar,kilowoko maneno,nyati jembe,mushi mtero na mbushi ndo fungakazi
kwani nchi inajengwa kwa kulima pekee? hayo mashamba,pembejeo vjana wapate wap? unaandika tu... digi digiVijana badala ya kusubiri jkt nendeni shambani mkalime tujenge nchi.
acha kujitoa ufahamu nani kakuambia tangazo likitolewa kwenye website ndoo indicator ya kwenda jkt ndoo maana hufai kuitwa askari ww ukurupuka ninyi ndoo mnachafu sifa za majeshi kuonekana watu darasa la saba hakuna depo mwaka huuhNaona kama mambo yameanza kuiva. Nimeingia jana kwenye site yao. Previously kulikuwa na lile tangazo jipya la kukanusha taarifa za uongo za kureport tarehe 3 - 7 ya mwezi huu. Well wamelitoa. Nahisi wanaleta issue sasa hivi. Kama walivyokanushaga kuhusiana na usahili before alafu tarehe chache baadae wakaanza mchakato. Naona neema yaja.
Mbona una shobo sana mzee. Nishakueleza niteme. Si lazima tuwekeane mazoea blaza. Nteme mkuuacha kujitoa ufahamu nani kakuambia tangazo likitolewa kwenye website ndoo indicator ya kwenda jkt ndoo maana hufai kuitwa askari ww ukurupuka ninyi ndoo mnachafu sifa za majeshi kuonekana watu darasa la saba hakuna depo mwaka huuh
[emoji39] [emoji81] [emoji82] [emoji82] [emoji74] [emoji75] *****Mbona una shobo sana mzee. Nishakueleza niteme. Si lazima tuwekeane mazoea blaza. Nteme mkuu
Blaza nimeona najisumbua kukupa hata kiki kukujibu na iphone siipi sifa bora nikuignore na kukureport.acha kujitoa ufahamu nani kakuambia tangazo likitolewa kwenye website ndoo indicator ya kwenda jkt ndoo maana hufai kuitwa askari ww ukurupuka ninyi ndoo mnachafu sifa za majeshi kuonekana watu darasa la saba hakuna depo mwaka huuh
marahaba mkuuShikamoo kaka Nkanga chief?
Blaza nimeona najisumbua kukupa hata kiki kukujibu na iphone siipi sifa bora nikuignore na kukureport.