Nape unalewa sana sifa na hao magamba wamekuweka kwenye mtego bila ya wewe kujijua, kumbuka asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania hawaitaki CCM na mimi nikiwa mmoja wapo juu ya kwamba mzee wangu ni kada wa magamba.Jiangali na ujitafakari kabla hujaropoka kwani mwisho wa yote utakuja kusimama...
Ni majuzi tu wakati Waziri Mkuu anatoa tamko kwamba yeyote atakayeleta fujo achukue kichapo cha polisi wenzetu CUF walikuwa wanashangilia kwa nguvu zote wakiona wanawakomoa CHADEMA. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kauli ile itawakumba hata hao CCM wenyewe kwasababu sio askari wote wanaoipenda...
Ni juzi tu katika bajeti ya mambo ya nchi za nje wameumbuliwa na Chadema juu ya kununua jengo la ubalozi ufaransa. Mwaka jana waliomba hela wakalipia bilioni 9.6 wasivyokuwa na aibu mwaka huu wanaomba hela za kununulia jengo ilo ilo tena.
Unachoongea ni pumba tupu huyo mtanzania wa sasa hv wa kuanzia miaka 35 kuja chini anaeipenda ccm sidhani kama atakuwa yuko sawa kwenye ubongo wake. La sivyo atakuwa anatoka kwenye familia ya magamba
Kwa mwanamke kama huyo shemeji yako hata kama angekuwa ni mzuri kama malaika, kaka yako hatakiwi kukaa nae kwani ana pepo wa ngono. Mwanamke kama huyo hata umuwekee ukuta mrefu kama wa magereza basi ujue pepo la ngono likimpanda tu ujue atatoka.
Mueleze kaka yako wanawake wapo wengi sana.
Kwa Waisla leo kudai haki yao mnauona ni uchochezi hivi ni nani asiyejua kwamba Nchi hii hiko chini ya mtandao wa Kanisa Katoliki? Acheni mambo yenu ya kipuuzi mtu mwenye akili zake timamu anatakiwa kutafakari jambo kabla hajaliwakilisha.
Hata mimi nimebahatika kukiangalia hicho kipindi leo asubuhi kupitia STAR TVkwa kweli kilikuwa namvuto mkubwa sana. Lakini kuna jamaa mmoja anajihita mwandishi wa habari alikuwa akichangia pumba tupu. Madai yake ni kwamba gazeti la Tanzania Daima limeandika muuaji wa Mwangosi huyu hapa, yeye...
Hakuna cha wachaga wala nani hapo msitake kupotosha watu na pia tuwache malumbano tusubirini uchunguzi ndio tutajua mbivu na mbichi. Kwasababu kumeshazuka tabia ya mtu anaiba mali ya umma akigundulika maneno yanayotamkwa ni kwamba hoo anaonewa wivu. Tuache siasa chafu hizo
Tuko pamoja wana wa CDM shime shime twendeni tukawasikilize makomandoo wetu na watetezi wa Taifa hili, na pia watueleze ni lini watakitoa kirusi kilichoingia ndani ya CDM (Shibuda)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.