Nilifikiri chadema ni wakorofi bungeni tu,, sikiza hii..

Nilifikiri chadema ni wakorofi bungeni tu,, sikiza hii..

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Nilifikir CHADEMA wakorof Bungen tu! Kumbe hata hotelin...! jana wakiwa wanakula akaanza WENJE: Mwongozo wa hotel chumvi haitoshi..! MNYIKA: Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa Jana siungi Mkono Hoja ya Kulipa Chakula hiki...!
TUNDU LISU: kanuni ya 17b kifungu cha 1,C Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa kuku wa kisasa silipi,,
ZITO: Tume iundwe kuchunguza kama kweli mchele huu ni wa Mbeya..!
Duuh! Chezea CHADEMA wewe!
 
haya bwana naona uniwatafutia makamanda ban.
 
hahaha jamani mbona mnatake serious wakati tupo kwenye jukwaa la jokes?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom