Bunge la Bajeti laiua kabisa CCM

Bunge la Bajeti laiua kabisa CCM

chadema ni mwiba.....imewafanya wabunge wa ccm kuwa kama mawaziri naku tetea serekali kila kukicha.....
wapunge wa ccm hawawakilishi wanachi wao. hilo nalo limepa chati chadema

ni mwiba kwa amani na mshikamano ktk nchi mana wanatembea na sumu hadi bar, wanafanya vurugu kila mahali hadi bungeni, sasa wameumbuka na hili la ushoga
 
Kambi ya chadema bungeni imejimaliza na kukimaliza chadema kwa ujumla...saivi ukipita mitaani wanasema chadema ni cha wahuni na wafanya vurugu...hatuwataki

Hili la kuwahususha CUF na USHOGA wakati wao walikuwa wa kwanza ndilo limewamaliza kabisaaa
 
Pole sana.

Huo ndiyo ukweli , kuniambia pole ni kujifariji tu mkuu haisaidii, tatizo wewe haukai uswahilini kwa wapiga kura ukasikia jinsi watu wanavyokisema hiki chama cha falme za kaskazini
 
Hivi inawezekana hii ni tabia ya CHADEMA ya kuwageuzia wengine kibao, tunaona suala la USHOGA wanavyojaribu kuwageuzia CUF wakati kila mtu anajua wao ndiyo washika dau wa ushoga. Inasemekana hata mdogo wa kiongozi mkubwa ndani ya CDM USHOGA ndiyo shughuli zake huko majuu.

mbona ndio zao hizo, we angalia viongozi wa chadema ambao hawajaoa wala kuolewa halafu ni watu wazima...wanamalizaje haja zao? Hao ni mashoga na wasagaji kwa kwenda mbele mkuu
 
chadema kikipoteza mpumbavu mmoja kinaingiza vichwa sahii au jembe 5 hapo kinashuka au?
 
bila kusahau na CUF...ule mtego waliowekewa na kuanza kutetewa na CCM....umewaweka pabaya sana CUF huku kwenye jamii..
 
Hili la kuwahususha CUF na USHOGA wakati wao walikuwa wa kwanza ndilo limewamaliza kabisaaa

wamejipiga mana tanzania inajua kuwa yule mbunge wao wa kawe ndio tabia yake...hadi ameshindikana kuolewa kabisa kabisa...angalia kashfa ya mwenyekiti kumjaza mtoto wa watu mimba zisizotarajiwa hadi anashindwa kuhudhruia vikao vya bunge...halafu wao si ndio wanamiliki danguro pale bilikanaz?
 
Nakishauri chadema kiache kukumbatia usagaji kama ule unaofanywa pale bilikanaz na huko kawe
 
Tatizo lenu nyie vijana wa CCM u always look at cheap things...u don't like to brainstorm...mnakua mnaatuibisha vijana wenzenu wa kitanzania.......ni wapi CDM inasema inamiliki bilcanaz...mjitahidi kuumiza kichwa kidogo...
 
Hili la kuwahususha CUF na USHOGA wakati wao walikuwa wa kwanza ndilo limewamaliza kabisaaa

Heri ya wahuni kuliko majangili wanaomaliza tembo wetu. Heri ya wahuni kuliko wezi wa rasilimali zetu. Heri ua wahuni kuliko wango'oa kucha na meno. Twiga na urefu wake anakunjwa na kuingizwa kwenye ndege na watu wanajifanya wema sana. Nasems waibe watakavyo,wajigaiye ardhi watakavyo lakini ipo siku Mungu wa kweli atashuka na kuturudushia mali zetu. Wanajifanya wanamjua Mungu kumbe wanafiki wakubwa;wenye siasa za kinafiki,wasingiziaji na wezi wakubwa.
 
Tatizo lenu nyie vijana wa CCM u always look at cheap things...u don't like to brainstorm...mnakua mnaatuibisha vijana wenzenu wa kitanzania.......ni wapi CDM inasema inamiliki bilcanaz...mjitahidi kuumiza kichwa kidogo...

acha uvivu wa kufikiri...bilicanaz inamilikiwa na nani? Nunua tz daima la chadema angalia matangazo kama umeshindwa ku open up ur mind..au mtafute mwenyekiti wako mr dj muulize bills ni ya nani.
 
Ni jambo la wazi kwa sasa kuwa bunge limekuwa ni tanuru la moto la kuchoma magamba ya CCM.

Kuanzia Spika(Makinda), Naibu spika(Ndugai), Katibu mkuu wa CCM(Kinana), Naibu katibu wa CCM(Mwigulu) hadi mwenyekiti wa CCM(Kikwete) na baraza lote la mawaziri, wote wamevuliwa nguo na kuingia aibu baada ya CHADEMA kuwaumbua watu hao ndani ya bunge la bajeti.

Kwa sasa hata TBC inapata wakati mgumu kurusha matangazo ya bunge 'live' kwani yamekuwa sumu ya kuia CCM kijamii na huku yakiipandisha Chati kisiasa CHADEMA.

Hapo kabla alipangwa kuwa bunge lisirushwe tena 'live' lakini kelele za wadau zikawafanya waogope na kusitisha mpango huo. Kwa sasa ni TBC pekee ndio wamepewa ruhusa ya kurusha matangazo ya bunge na wakati huo huo TBC inaonekana mikoa michache na kwa sasa haionekani kwa baadhi ya mikoa iliyokuwa inatumia Satelite kuona TBC. Na mara kadhaa TBC imekuwa akikata matangazo ya bunge pasipo sababu hususani pale CCM na washirika wake wanaporaruliwa.

Ni juzi tu, Naibu spika wa bunge, Job Ndugai amakaririwa akisema kuwa hatawagusa tena wabunge wa CHADEMA kwa kuwa kila akifanya hivyo wabunge hao wameonekana mashujaa mbele ya jamii na yeye kuambulia aibu kutoka kwa wananchi na jamii kwa ujumla.

Naona umeamua kujifariji na kujiliwadha.
 
Bibie Umefanya kazi nzuri haya nenda kwa babu akakupe chakula
 
Heri ya wahuni kuliko majangili wanaomaliza tembo wetu. Heri ya wahuni kuliko wezi wa rasilimali zetu. Heri ua wahuni kuliko wango'oa kucha na meno. Twiga na urefu wake anakunjwa na kuingizwa kwenye ndege na watu wanajifanya wema sana. Nasems waibe watakavyo,wajigaiye ardhi watakavyo lakini ipo siku Mungu wa kweli atashuka na kuturudushia mali zetu. Wanajifanya wanamjua Mungu kumbe wanafiki wakubwa;wenye siasa za kinafiki,wasingiziaji na wezi wakubwa.

acha ujinga ww, wa hiyo bora huo ushoga wenu kuliko kutembea na sumu hadi bar? Hadi mnakamatwa mnarekodiwa mkipanga kulisha watu sumu kisha muwateke? Rejea taarifa ya tume ya wahariri iliyochunguza kutekwa kwa kibanda, imejiridhisha pasipo shaka kuwa chadema inahusika kumteka na hatimaye kumtesa kibanda.
 
Ni jambo la wazi kwa sasa kuwa bunge limekuwa ni tanuru la moto la kuchoma magamba ya CCM.

Kuanzia Spika(Makinda), Naibu spika(Ndugai), Katibu mkuu wa CCM(Kinana), Naibu katibu wa CCM(Mwigulu) hadi mwenyekiti wa CCM(Kikwete) na baraza lote la mawaziri, wote wamevuliwa nguo na kuingia aibu baada ya CHADEMA kuwaumbua watu hao ndani ya bunge la bajeti.

Kwa sasa hata TBC inapata wakati mgumu kurusha matangazo ya bunge 'live' kwani yamekuwa sumu ya kuia CCM kijamii na huku yakiipandisha Chati kisiasa CHADEMA.

Hapo kabla alipangwa kuwa bunge lisirushwe tena 'live' lakini kelele za wadau zikawafanya waogope na kusitisha mpango huo. Kwa sasa ni TBC pekee ndio wamepewa ruhusa ya kurusha matangazo ya bunge na wakati huo huo TBC inaonekana mikoa michache na kwa sasa haionekani kwa baadhi ya mikoa iliyokuwa inatumia Satelite kuona TBC. Na mara kadhaa TBC imekuwa akikata matangazo ya bunge pasipo sababu hususani pale CCM na washirika wake wanaporaruliwa.

Ni juzi tu, Naibu spika wa bunge, Job Ndugai amakaririwa akisema kuwa hatawagusa tena wabunge wa CHADEMA kwa kuwa kila akifanya hivyo wabunge hao wameonekana mashujaa mbele ya jamii na yeye kuambulia aibu kutoka kwa wananchi na jamii kwa ujumla.
Khaa!! https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ajeti-2013-laimaliza-chadema.html#post6488404
 
Ni juzi tu katika bajeti ya mambo ya nchi za nje wameumbuliwa na Chadema juu ya kununua jengo la ubalozi ufaransa. Mwaka jana waliomba hela wakalipia bilioni 9.6 wasivyokuwa na aibu mwaka huu wanaomba hela za kununulia jengo ilo ilo tena.
 
kwel unafikili kibavicha sasa mbona huelezi kama ime wajenga kivipi hao magaidi wa cmd
 
Hili limetokana na Wabunge wa magamba kuto tambua wajibu wao wa Kibunge kwani nao hufanya kazi as if ni Serikali badala ya kuisaidia serikali wanakuwa nao kama mawaziri naona huruma sana kwani 2015 idadi kubwa ya wabunge wa magamba hatunao tena
 
Back
Top Bottom