Hiv inakuaje ww mwanaume una mpenz wko mnapendana yan unampenda nayy anakupenda. kpindi hicho mapenz ni mazur sana afu ww huna kaz na huna pesa za kutosha kujimudu nyote.
mungu sio athuman unapata kaz na pesa znaanza kuja,yale mloyataman mnaanza kuyapata,cha kushangaza mpenz wako anakuacha...
Habar gan mabib na mabwan, mko pouw? ni matazamio yang mpo na afya njema kabisa.
katka maisha kuna vitu vingi tunavyovitazamia vtakuaje kwa mda wa badae...
kama ungeulizwa wewe apo JE' UNATAKA TANZANIA IWE INCHI YA AINA GANI? huu ni mdahalo ambao unafanyika kila j4 na waandishi wa habar...
we dick, skukatalii sawa,lakn ukipewa hela hukua na wazo la kupata wala kufanya biashara lazma umwage radh, ww ulikaa chin na ukagundua nn cha kufanya juu ya 50,000
Si akafika hadi kwenye ule mti wa muembe, kaangaza juu kote akaona embe 1 hivi. Wacha apande mpaka kwenye lile embe (tunda) akalichek na akalibonyeza akagundua kumbe limewiva, akashuka haraka sana embe akaliacha, huku akisema watu wasijekuniona. Kushuka, kakusanya mawe, miti, kila kitu.
Si...
Yan kwa jinsi ninavokujua wewe apo, ukipewa laki5 500,000 sahiv utaifanyia nin? utafungua biashara gan mda huu?
weng uwa tunamalengo lakin ukizkamataa tu yanaanza mambo ya bata ndefu hatari,
biashara ni kitu knahitaji fikra na hakiitaji kumuangalia flan eti katusua, tumia akili yako vzur...
Jamani kama nilivowaambia apo mwanzo, mimi ni na idadi ya miaka 19.5 kwa sasa,mimi nauliza eti mpenzi wako akikwambia umpe zawadi, je mbali na penzi zuri wewe utampa zawadi gani?
Maana mimi najiulizaga sana siku yamenitokea pindi nikipata mpenzi sjui itakuaje.
Wewe utamnunulia zawadi gani nzuri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.