nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
hahaha! <nitonye> itakua fresh ama nn!
we ushawah kumpatia nn mpenz wako/kukupatia ww?
Itakuwa powa sana mchagulie hasa ya pink au white yenye kiua kwa mbele
hahaha! <nitonye> itakua fresh ama nn!
we ushawah kumpatia nn mpenz wako/kukupatia ww?
We dogo soma kwanza . mbona unakimbilia mambo ya kikubwa utayajua tu huko baadae
Lamborghin
Ha ha ya mie Lamborghin mkeo vits lolNjoo nikupe ya kwangu