Unataka Tanzania iwe nchi ya aina ganii?

Unataka Tanzania iwe nchi ya aina ganii?

MrishoKafir

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25
Reaction score
2
Habar gan mabib na mabwan, mko pouw? ni matazamio yang mpo na afya njema kabisa.
katka maisha kuna vitu vingi tunavyovitazamia vtakuaje kwa mda wa badae...

kama ungeulizwa wewe apo JE' UNATAKA TANZANIA IWE INCHI YA AINA GANI? huu ni mdahalo ambao unafanyika kila j4 na waandishi wa habar wenzang ktk chuo chetu, nimeona co mbaya naww nione mtazamo wako na maoni yako pia, nahitaji mchango wako. karibu..
 
Back
Top Bottom