MrishoKafir
Member
- Aug 5, 2015
- 25
- 2
Natafuta sehemu ya kufanyia field (presenter), kama pande zenu kituo cha radio pako vizuri ruka na mimi hapa hapa live au mrishokafir@gmail.com
Hii sio sawa hata kidogo... Kazi apige na ada atoe?... DuuuhKaribu Moshi Fm radio ipo moshi mkoani kilimanjaro. Ada ya field kwa mwezi ni tsh 50,000/= kwa msahada zaidi shadrackmafie@yahoo.com. nitakupa full detail
Natafuta sehemu ya kufanyia field (presenter), kama pande zenu kituo cha radio pako vizuri ruka na mimi hapa hapa live au mrishokafir@gmail.com
wasiliana na Radio Imaan ya morogoro lakn hilo jina lako la pili (-----) linaweza kuwa kikwazo
Hii sio sawa hata kidogo... Kazi apige na ada atoe?... Duuuh