Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

nguo viatu simu perfume handbags cheni saa hereni na vingine kedekede ( akija ajaze kibegi kidogo dogo)
 
OUTING(Kubarisha mazingira kidogo, huwa wanapenda hawa ndugu zetu)
 
hapa tufanye product testing,tuonjeshe kidogo kabla hatujanunua

Kifurushi cha maisha, mimi kukupenda wewe.
Na kamwe hakitaisha, daima pamoja nawe.
Shairi nawaonjesha, kusudi mnielewe.
Huo ni mfano hai, nilipe nikutungie.
 
Kifurushi cha maisha, mimi kukupenda wewe.
Na kamwe hakitaisha, daima pamoja nawe.
Shairi nawaonjesha, kusudi mnielewe.
Huo ni mfano hai, nilipe nikutungie.

umetisha mkuu,ngoja niwasiliane Rugemalira anipe mgao wa Escrow then ntakuchek
 
Nlitaka kuandika TEI TEI ===> Ni neno la mtaani likimaanisha c*upi.
 
Utahangaika sana kununu kila kitu lakini kama hutampatia zawadi ya uminifu vyote ni bure!
 
nimekupenda bure asee... unatumia kinywaji gani
Asante,lol.........
siunajua vyote ivyo akivaa saa akingalia anakukumbuka mtu akimsifia anakukumbuka,viatu perfume ndio usiseme boxer yani unamroga kithungu...lol mie simu apana simpi akinambia imepotea? kumbe na yeye kahonga,ahonge boxer lol...
 
Jamani kama nilivowaambia apo mwanzo, mimi ni na idadi ya miaka 19.5 kwa sasa,mimi nauliza eti mpenzi wako akikwambia umpe zawadi, je mbali na penzi zuri wewe utampa zawadi gani?

Maana mimi najiulizaga sana siku yamenitokea pindi nikipata mpenzi sjui itakuaje.

Wewe utamnunulia zawadi gani nzuri?
 
hahaha! <nitonye> itakua fresh ama nn!
we ushawah kumpatia nn mpenz wako/kukupatia ww?
 
We dogo soma kwanza . mbona unakimbilia mambo ya kikubwa utayajua tu huko baadae
 
subiri umpate kwanza ,unataka kuruka steps?yani unataka kununua mafuta kwanza kabla ya kununua gari?
 
Back
Top Bottom