Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 870
- 814
Mwenzangu wacha wao ndo watu judge ww na journalism yako mm na kiswahil changu,,,,,kama kwel wanaandaa jarida la watoto naiman hawawez kuacha wenye taaluma ya children literature,nina iman na prof mlokoz,nna iman na taaluma yangu,utunz wa riwaya,tamthiliya,ushair,uandish wa makala,majarida n.k,,,,hapa ndo kwake,watuite tu kwenye usail tukatunishiane misul huko.
umeishiwa maarifa pole tatizo la wabongo kila kitu wanakijua sana