Recent content by Mr Vingi

  1. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

    Hivi simba ikifa yanga mpinzani wake atakuwa nani. Ccm wajitafakari ktk maamuzi yao
  2. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Saudia Sasa kuruhusu Ujenzi wa Makanisa

    Waarabu watajigharimu sana na unafiki wao Kuwakubalia makafiri kwa kila kitu si kigezo cha kuenda sawa nao
  3. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania CAG: Makato ya Bodi ya Mikopo toka 8% - 15% yanakiuka Sheria; kuna watumishi wanateseka na makato makubwa

    CAG kashewafanya watu vichwa viote upara kwa muda tu
  4. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Vazi la taifa la Tanzania ni lipi?

    Kwani vazi la taifa kwa akina mama si KANIKI tu inatosha Kwa wale wa pwani nafikiri mtakuwa mmeelewa
  5. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu: Nimeongeza tundu la mkanda wa suruali kwa mara ya pili awamu hii

    Ulishaenda pima HIV lakini mkuu
  6. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Seneta John McCain apatikana na saratani ya ubongo

    Ugonjwa uliomuondoa mamayangu wa kambo huo. Ajitahidi kuomba sana mana safari si mbali nayo Alipo
  7. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

    Siku ukiangusha gari wajomba wakija jisevia pia uje jf kutuhabarisha mkuu
  8. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Bahrain, Saudi Arabia & Egypt yavunja mahusiano ya kidiplomasia na Qatar

    Unafiki wa waarabu kutaka kujisafisha kwa trump utawafanya kila siku watandikwe na mmarekani. Vilemba vya bure kumbe makunguru
  9. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Una uhakika gani mkuu
  10. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Abu Dhabi: Kijana bilionea atoa ofa kwenye Mall ya Lulu ndani ya dakika 30

    Kwa ghafla hiyo weza ukaondoka na pipi ya mtoto ujue
  11. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania UJERUMANI: Waandaji wa Tamasha la Muziki wajenga bomba la kusafirisha bia hadi tamashani

    Ndiomana sitaki kufanya kazi ktk serikali ya mjomba Ntalikosaje kuhudhulia tamasha kama hilo kwamfano
  12. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

    Mkuu pole Sana ila Mkuu mtu anaekuja kwa lengo la kutaka kusaidiwa mtaji wa biashara hapewi PESA Ataje ni biashara gani then unampa bidhaa Hapo kidogo itasaidia Hata mwenye njaa hununuliwa chakula si kumpa pesa
  13. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Familia moja yaibuka na kudai aliyebuni na kuchora nembo ya Taifa sio mzee Maige bali Mzee Kabati

    Kama ni kiki wangeitafuta hata kwakusema Babu yao ndiye mtunzi wa wimbo wa Taifa au mchoraji bebdera Kidogo wangeeleweka
  14. Mr Vingi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Mkuu ww umezaliwa hilo halina Shaka Je nani kausimamisha ulimwengu? Mbingu na ardhi nani kazijenga? Kabla ya kuzaliwa wewe wezaniambia ulikuwa wapi? Naomba jibu kwa mpangilio Kama ulivyo ulizwa
Back
Top Bottom