Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,837
Allah Akbar...!siku hizi unatusadi sana waislam kutupa daawa kwa aya za quraan,hizo aya nina mda mrefu sana sijazisoma,shukran sana
Allah Akbar...!siku hizi unatusadi sana waislam kutupa daawa kwa aya za quraan,hizo aya nina mda mrefu sana sijazisoma,shukran sana
Ndio lakini Jihad ya Bwn. Mudy na kujitoa mhanga ni Sunnah.Ugaidi wa mauaji ya kimbari Rwanda ulioratibiwa na kanisa katoliki, ugaidi wa LRA na wa kibwetere Uganda, ugaidi wa kuuwa vikongwe na kuwachuna watu ngozi huu ni lazima (Faradhi)
Hebu msome Mungu alieuliwa na wananchi wake msalabani.
Usitoke mapovu, huo mwezi ni mtukufu kwako. Jisikie aibu kwamba huwezi kufunga hadi ulazimishwe. Imani yako mwenyewe lkn unataka usindikizwe na uhaba wa chakula mtaani.
Funga ya kweli unalazimika kujinyima na sio kutokula kwa kuwa chakula hakipo. Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali, lakini kama unashinda njaa kwa kuwa hujaona chakula hapo hujafunga. Shida ni kuwa kuna watu wanaamini kuwa rabsha na kero kwa wengine ndio msingi wa imani iliyo imara.
Unalitest vipi uimara wa gari bila milima? Aliyedhamiria kufunga hata ule kitu gani mbele yake hawezi kula. Na hiyo ndio maana ya kujinyima. Punguza jazba, tafakari.
Kwa kufanya hivyo thamani yao itapanda sana! Siku zote binaadamu huwa na shauku ya kutaka kukijua na kukitamani kilichofichwa.Nitawashauri dada zangu wakitaka kujiuza wavae baibui kama wenzao wa Mombasa
Ndio lakini Jihad ya Bwn. Mudy na kujitoa mhanga ni Sunnah.
Maandishi yakishetani na majini hayawezi kunidhuru, kama unabisha niletee geto niigeuze toilet paper kabisa na haitokei chochote.Umeshasema dogo!!!! Kojolea wewe mtu mzima ambae unazo akili zako timamu halafu uangalie mwenye maneno yake atakavyoamua.
Maandishi yakishetani na majini hayawezi kunidhuru, kama unabisha niletee geto niigeuze toilet paper kabisa na haitokei chochote.
Lkn babu yako yupo eeh? We ukimkiri au ukimkataa haimpunguzii chochote wala haimzidishii chochoteMungu hayupo. Acheni kujidanganya.
Kwa sababu hayupo.Lkn babu yako yupo eeh? We ukimkiri au ukimkataa haimpunguzii chochote wala haimzidishii chochote
We endelea.... Majibu utayapata tu. Bahati mbaya hutakuwa na nafasi ya kuleta mrejesho.Kwa sababu hayupo.
Kama hayupo hawezi kuzidishiwa chochote au kupunguziwa chochote.
Atapunguziwaje au kuzidishiwaje chochote wakati hayupo?
Nakuunga mkono.
Mkuu maneno yako hayo au umeandikiwa?Mungu hayupo. Acheni kujidanganya.
Kipi kinakufanya ufikiri nimeandikiwa.Mkuu maneno yako hayo au umeandikiwa?
Mkuu desturi ya mtz anapoulizwa ni kujibu then kuukiza.Kipi kinakufanya ufikiri nimeandikiwa.
Unanitusi hivyo, kwamba mimi ni mtu wa kuandikiwa, kwani mimi siwezi kuandika?
Au umeona sina hulka ya kuandikahivi kwa jinsi unavyonijua?
Sababu gani hasa iliyokufanya uandike hivyo?
Mkuu desturi ya mtz anapoulizwa ni kujibu then kuukiza.
OK tuachane na hilo.
Naamini unaamini kuwa duniani kuna upepo unaovuma japo hujawahi uona kwa macho.
Pia kiumbe alie hai hupumua na huwa na roho japo vyote hivyo havionekani kwa macho,
Je ni kipi kinakufanya uamini hivi vitu vipo na hukuwahi kuviona kwa macho.?
Mkuu ww umezaliwa hilo halina ShakaWewe unaheshimu mambo ya dinina Mungunaona, nitakupa mfano kutoka huko.
Hata Yesu aliulizwa na watu kamawamlipe kodi Kaizari au wasimlipe.
Akaichukua sarafu yenye picha ya Kaizari na kuwaonyesha watu waliomuuliza, sarafu hii ina picha ya nani?
Wakasemaya Kaizari.
Akasema basi mpeni Kaizari vya Kaizari.
Mara nyingine kujibu swali kwa jibu kunatoa jibu la maana sana kabla ya kujibu moja kwa moja.
Upepounaonekana kwa macho na unapimika, unachorewa mpaka ramani kwamba unatoka wapi na kwenda wapi. Ni wewe tu.
Soma zaidi hapa How are winds measured?
Uhai wa kiumbe unapimwa jinsi viungo vyake vinavyofanya kazi,watu wana scan moyo mpaka ubongo na kukuambia huyu mtu kashaenda flatline au vipi.
Na hata kamatusingejua au kuweza kuuona uhai, hilo halihakikishi kwamba Mungu yupo.
Unaniuliza kwamba vipi vinanifanya niaminivitu vipo na hali sivioni kwa macho.
Wapi nimesema kwamba kitu kuwepo ni lazima kionekane kwa macho?
Hivyo vyote vinaweza kuwa proved in a logically consistent way.
Mungu wako muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote unaweza kum prove in a logically consistent way?
Unaelewa logical consistency ni nini?
Kwa nini swali liwe "nani" ?Mkuu ww umezaliwa hilo halina Shaka
Je nani kausimamisha ulimwengu?
Mbingu na ardhi nani kazijenga?
Kabla ya kuzaliwa wewe wezaniambia ulikuwa wapi?
Naomba jibu kwa mpangilio Kama ulivyo ulizwa
asante mkuu kwa kunionyesha hii dini n ya kibaguz