Maisha magumu: Nimeongeza tundu la mkanda wa suruali kwa mara ya pili awamu hii

mkighare

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
396
271
Ni mara ya pili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali ikiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi day badala ya boarding.
 
ukiona umeongeza mpaka mara kumi basi hapo uje huo ndo utakuwa mwisho wa uhai wako mkuu lakni kuna wengine wanapta grisi uku mtaani pole sana mkuu mimi ndo kwanza mkanda wangu haunitoshi umekuwa mdogo so inabidi niupanue
 
Hongera kupunguza uzito/ obesity ni nzuri kwa afya yako.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nimara yapili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali inkiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi day badala ya boarding
Heri yako wengine tulishasahau hata kuuvaa,
 
Nimara yapili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali inkiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi day badala ya boarding
Unavaa inchi ngapi? Mwanaume wastani ni 36-40. Huyo hana jikitambi. Kama ulifikisha 45-50 endelea kupungua.tena ule mboga za majani sana ( sio umaskini)
 
Nimara yapili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali inkiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi day badala ya boarding
Hali hii ni ngumu ila ni nzuri kwa afya yako mkuu,hata katika ndoa nadhani utakuwa unapatikana siku hizi kulinganisha na enzi zile ulivyokuwa unajifanya uko busy na kazi..
 
Na boxer umezifanyaje?

Au ndo unazipandishia juu ya belt la suruali unakazia na mkanda?
 
Na boxer umezifanyaje?

Au ndo unazipandishia juu ya belt la suruali unakazia na mkanda?
Umenikumbusha Dr mmoja while I. University nahisi alikuwa anafundisha watu wa education ,yeye huwa anachomekea shati ndani ya boksa...kosa lako litakuwa kumwambia kuwa boksa inaonekana...kwasababu anajua anachokifanya...mzee yule alikuwa anatuchekesha sana....
 
Na bado. Ukifikia kufunga mkwiji na kamba ya katani hapo utakuwa umefuzu vyema katika elimu ya uvumilivu.
 
Nimara yapili naongeza tundu la mkanda wa suruali kwa kuwa suruali zangu zina pwaya sijui hii hali inkiendelea itakuwaje maana naanza kufikiri namna ya kuwahamisha wanangu shule angalau warudi day badala ya boarding
Mwenye nchi kipara kinazidi kuongezeka na suti zinampwaya
 
Back
Top Bottom