chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Hahaha wafia Dini BwanaSio ishu Sana mbona mtume wetu Muhammad amani juu yake aliishi nao kuanzia makkah hadi maddinah ila ilimradi wafuate sheria na kanuni.
Hahaha wafia Dini BwanaSio ishu Sana mbona mtume wetu Muhammad amani juu yake aliishi nao kuanzia makkah hadi maddinah ila ilimradi wafuate sheria na kanuni.
Mkuu umefikiria in 3D Asanteni kweli....lakiniiii............huu upatano unamaanisha mwisho umekaribia kweli kweli
Yaani nikifikiria yanayotokea naogopa kwakweli dada angu..N Korea kakubali kuharibu makombora ya nyuklia,anaelekea kusitisha uzalishaji kabisa wa hiyo kitu, huku Israel inatimua wakristo kinamna huko Jerusalem..something bad is cooking up.basi siwez kuunganisha ila kama naogopa hiviMkuu umefikiria in 3D Asante
Tuwasamehe Kwa kweliNikuwasamehe bure tu.
Ati wanasema Nabii wao Ellen aliwaagiza kuwa jambo la kwanza kwenye mafundisho yao ni
Kuwahubiri Wakatoriki kuwa ni wapinga Kristo.
Jambo la pili ni kuitangaza Sabato.
Jambo la tatu ni kusoma kwa bidii vitabu vua Daniel na Ufunuo kwa lengo la kuwadhihaki Wakatoriki.
Maswala ya kuihubiri injiri ya ukombozi kwao sio ya msingi sana.
Ndio maana mambo kama ya Ubatizo, Toba, Msamaha wa dhambi, na nguvu ya Neno la Kristo kwa sio hawatilii maanani.
No longer at easy kaka!Huyu dogo huyu wasipopita na kichwa chake time will tell
No longer at easy kaka!
During the Vatican delegation’s visit last month, controversial news spread on an agreement signed by Vatican and Saudi Arabia to build churches on its lands, Hani Bakhoum the spokesperson of the Catholic Church of Egypt, issued an official statement on Saturday to clarify that the visit did not include this issue.Building churches in Saudi Arabia has not discussed during the visit: Egypt’s Catholic Church
Ebu elezea ulivyofanya tafiti hapa kwamba hakuna impact yeyote.Poleni sana nduguzanguni,kadnali amekanusha,
lakini hata kama,wakiruhusu haitakuwa na impact yeyote,hasa ukichukulia nchi zingine za eneo hilo zinaruhusu ,lakini hakuna impact.
Mfano hakuna nchi wakristo wako huru kuabudu kama syria,iraq na iran,palestina,lakini hakuna impact,
kiufupi dini zote sasa zinapoteza ushawishi kwa watu
Vaitcan imekanusha habari hii, imesema hakuna makubaliano waliyoingia na Saudia kujenga Makanisa nchini humo. Vatican ni watu wenye heshima hawadanganyi.
1. Vatican denies deal with Saudi Arabia to build churches for Christians | Daily Mail Online
2. Vatican ‘denies’ agreement signed with Saudi Arabia includes building churches
3. Building churches in Saudi Arabia has not discussed during the visit: Egypt's Catholic Church - Egypt Independent
Mashia ni wakristo?BILASHAKA KWA TUNAO WAJUA MASHIA HUWA WAKIANDIKA MAKALA ZAO TUU NIRAHISI KUTAMBUA HIZI PROPAGANDA