Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
Nitarud baadae
 
Daaaah nikiipiga inanifanya kuwapenda watz hasa nyie humu jf karibu tuigonge
 
Kwa wale wauzaji wa pombe ndio chanzo chao cha mkate wa kila siku.....

Sio wauzaji tuu! Kuanzia walimaji wa ngano na shayiri. Wasambazaji pembejeo mashambani. Wenye usafiri. Kiufupi pombe ni rafiki wa kila mtu duniani.
 
Kitwanga ilimrostisha[emoji23][emoji23]
Ule mchezo.. Tayari ulishachezwa, tuliyoyaona na kuyasikia yalikua ni marudio tu. [HASHTAG]#kikizamtumbuaji[/HASHTAG]

Ngoja nimalizie JIPABA LANGU.. Kabla sijamfata mjomba BALIMI.
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
Wako wapi hao wanaokunywa mipombe bila staha na kituo. Napenda sana kama hao,
 
Hahahaaaaahahahaha kwanza nikipia ikikolea staki dem na kama nlikuwa nae hapo asipokaa sawa naweza msahau na akisogeza mikono kwenye zipu ya suruwali tunagombana sanaaa as if kamwaga kileo changu CHOZ LA SIMBA LIACHWE KAMA LILIVO Gordon's
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.

Eti waliofanyiwa ayo ni wanawake au wanaume..!?
 
Nimejaribu kuuliza tuu kwa wadau kuhusu pombe kuwa imewahi kuwasaidiaje? Binafsi pombe haijawahi nitupa mkono. Imenipa marafiki wengi sana. Na hata mafanikio yangu nimeyapata kwenye pombe. Unaweza uliza mafanikio gani? Nimekuwa nikutumia kilevi kabla sijaanza kujisomea na hata kwenye mitihani ya O level, advance na chuo kikuu nilikuwa nikiingia nikiwa mtungi. Kwenye job interview yoyote ile sijawahi kushindwa maana niko na pombe. Kimaisha pia ninazidi kufanikiwa sababu ya pombe. Wewe je mwenzangu pombe imekusaidia katika nini?
Siku ukiangusha gari wajomba wakija jisevia pia uje jf kutuhabarisha mkuu
 
Huwa Namshukuru Sana Aliyetengeneza CASTLE LAGER THE PERFECT MOMENT huwa nikigusa 6 nakuwa fresh kabisa unalala vizuri na huwezi kuota ndoto za ajabu ajabu unalala kama uko peponi tena ngoja nipaki mkokote wangu wa urithi nikazimue hapa dv8
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
Itumie vizuri... Ukinywa kwapupa utatolewa malinda kweli... Lakini tunaokunywa kistaarabu haijawai kutuzuru zaidi yakujibebea warembo wanaopenda ofa nakwenda kugegeda.
 
2c7913e228136b3b6eb7dbace44bf6b0.jpg
 
Back
Top Bottom