Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).

Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.

Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa

Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!
 
Mbona Lissu kwenye kampeni zake kila siku alikuwa anamponda Magufuli badala ya kumwaga sera za maendeleo?
Usisahau, Bungeni si sehemu ya kunadi sera.

Kampeni na Bungeni Ni sehemu mbili tofauti kabisa. Ndiyo maana Bungeni unaingia kwenye jengo kabisa na kampeni unaweza panda hata juu ya meza ukahutubia.
 
Gharama walizotumia chadema kwenye kampeni halafu wameporwa ubunge hadi urais inaumiza ,big investment halafu hakuna Jimbo hata moja la chadema .
 
Pamoja na kwamba tumekosa udambwi dambwi bungeni
Heche, Mbowe, Mdee, Matiko, Bulaya, nk
Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa
Tuangalie wabunge hawa ndan ya miaka 5 wamefanya nn? Au wamelifanyia nn Taifa

Tangia awamu ya tano iingie madarakani
Wapinzani kila kitu wanapinga tu
Mara wajizibe midogo
Mara wamesusia bajeti
Kipindi cha corona wametoka nje ya bunge
Leo wametolewa bungeni mazima kwa mijibu wa katiba
Kura azikutosha kelele sasa za nini?
hata wangeteuliwa kuwa wabunge wangekuwa wanasusa susa tu ,,
Ni kheri wakae nje mazima

Mkuu
Embu andika kama msomi. Mbunge anapesa mpk afanye nn bungeni? Mbunge ana bajeti?

Suala la maendeleo ni la Serikali, sio mbunge.

Ulitaka mshahara wa Heche ukajenge barabara?

JF ya siku hizi imejaa vilaza sana
 
Usisahau, Bungeni si sehemu ya kunadi sera.

Kampeni na Bungeni Ni sehemu mbili tofauti kabisa. Ndiyo maana Bungeni unaingia kwenye jengo kabisa na kampeni unaweza panda hata juu ya meza ukahutubia.
Kiongozi.

Sikuwa na maana Bungeni watu wamwage sera, nilijibu hoja yako ya "kuponda" ndio maana nimekutolea mfano wa Lissu alivyokuwa anamponda Magufuli kwenye kampeni badala ya kumwaga sera za maendeleo
 
Mkuu
Embu andika kama msomi. Mbunge anapesa mpk afanye nn bungeni? Mbunge ana bajeti?

Suala la maendeleo ni la Serikali, sio mbunge.

Ulitaka mshahara wa Heche ukajenge barabara?

JF ya siku hizi imejaa vilaza sana
usimlaumu huyu. ujanja huu Magu kawaaminisha watu Na ndio kihezo kikuu ktk kura yaani ili wapate maendeleo lazima wachahue ccm
 
Back
Top Bottom