Recent content by mr vet

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze hapa: Namna nilivyoanza mpaka nilipofikia. Unaweza kupata kitu

    Hongera sana mkuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania 2020 utakuwa wakati wetu kulipa kisasi

    Tatzo hatuna mbadala.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusiokuwa na mapenzi ya dhati na hulka ya kutodumu katika mahusiano tukutane hapa

    Sasa wenye tatzo kama lako mkutane tena , Ili kuimalisha tatizo au kutatua... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkoa wa Pwani kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania ..mtihani kidato cha sita 2017

    Shirika la elimu kibaha ambalo ni la serikar Linamiliki na tumbi hospital pia Post sent using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    Haendi kuwa fundi wa kutengeneza x ray machine.. Sent from my HTC One X using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mnaotegemea kujiunga na vyuo vikuu

    Ushaur mzur sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sokoine University Of Agriculture Special Thread

    Kwan mkuu wew umesoma ipi mati ya izo mbilii..!?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nichague kozi gani.!!!!!!.????

    Nadhani sasa ndo wakati ambapo kiuhalisi unatakiwa usome kitu ambacho unakiweza na unaweza best katika hicho,, maana hivi karibuni watu wengi tulikuwa kunachangua vitu kulingana na priorities za serikal na kupata loan,, Na tuliacha kusoma vitu tulivokuwa tukivipenda na kuviweza na kufuata upepo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa mbishi kumwelewa Mwl.Magufuli na sasa anamwelewa vizuri?

    Usijari utamuelewa akistafu,, Na utasema sana kwamba tunakukumbukaa,,, Na ukipata nafsi ya kumuona utampigia makofii,,,lakin akistafu,,,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani ungechukua nchi hata mara moja tu, taifa hili lingekuwa mbali sana.

    Moja ya vikwazo vya maendeleo tanzania ni kwamba,, Tunaukosefu wa wapinzani,, Hakuna kabisa wapinzani,,,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunahakiki qualifications au vyeti feki?

    Diwani wangu sitaki mmguse kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Hizi zote zinafanyikaaa sua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Kwanza hata ivo pale bado pana project nyingi tu na zenye impact kwa jamii,,, Mpaka sasa sua tu ndo wameweza kudetect sample 100 za TB kwa dakika 20 tu, Kwa kutumia apopo rat,,, Na hii inatumika nchi kama zimbambwe ,, mwaka huu technologia hii ndo inaweza anza tumikaa tz
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Well said mkuu,,,[emoji106]
Back
Top Bottom