2020 utakuwa wakati wetu kulipa kisasi

2020 utakuwa wakati wetu kulipa kisasi

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Watanzania mwaka 2020 wetu kulipa kisasi kwa utawala huu uliofitinika, ni wakati wetu tutakapoonesha wazi wazi hasira tulizo nazo kwa utawala huu.

Watanzania kwa umoja wetu tutaungana kuukata utawala ambao umedidimiza maisha ya Mtanzania na kuwafanya kuwa duni na masikini wa kutupwa.

Watumishi wa umma ni wakati wenu mtakapoonesha hasira zenu dhidi ya utawala huu, kilio chenu na machozi yenu ya kutokupandishwa madaraja na kupunguziwa mishahara yenu kitasikika na kulipwa pale mtu yule katili na mwenye roho mbaya atakaporejea kwao.

Wakulima vijijini mnaosumbuka kulima bila msaada wa serikali na lakini mnapangiwa mmuzie nani mwaka huo utakuwa mwafaka kwenu kulipa kisasi.

Wafanyabiashara ambao mmefunga biashara zenu kutokana na hali mbaya ya kiuchumi, utitiri wa kodi usiojali mtaji ni wakati wenu huo kuonesha hasira zenu.

Lakini pia vijana msio na ajira ambao mlidanganywa nchi hii itakuwa ya viwanda, vijana ambao mmekosa mikopo ya kwenda vyuo vikuu 2020 utakuwa wakati sahihi wa kulipa kisasi.

Watanzania 2020 tusimame kwa pamoja kuukataa uongozi huu bila kujali dini zetu, makabila yetu, kanda zetu wala hali zetu za kiuchumi.
 
2015 nafasi ilikuwa kubwa kuliko 2020, labda kwa shida sana 2025.
 
Mtu mwenye fikra na akili ya "kulipa kisasi" ni mtu hatari sana katika jamii ya Kitanzania. Hii inaonyesha dhahiri ya kuwa wengi wenu mmevimbiwa na sumu ya Chuki, uadui, ukabila na uzandiki. Bila kusahau dhambi ya ubaguzi. Kuna njia sahihi ya kuikosoa na kuishauri serikali, sio kwa maneno haya ya chuki na ubaguzi.
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Tuepushe na nia ovu za wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania kwa nia njema....Amina.
 
Endelea kuota
 
Binafsi naisubiri 2025 kama wapinzani wataelewa wananchi wanawatizama kwa jicho lipi.
 
Mkuu, sikukatishi tamaa lakini ni vyema ukaelewa tu hiyo 2020 hakuna lolote linaloweza kubadilika.. Kwa tume hiyo hiyo iliyopo hakuna la zaidi ni kutiana moyo tu.
On top of that, watanzania wengi wanaopiga kura hawana elimu ya kutosha. Wao hupiga kura kwa kufuata maigizo ya wanasiasa badala ya kuyaangalia mambo kwa kina. Wengi walishaaminishwa juu ya chama cha nyerere basi. They don't think out of that Pandora box.
Pia wenye uelewa hawana mwamko wa kwenda kupiga kura. Hatima yake ni kuendelea na hii vicious cycle ya ccm. Just think tu ule mkoa wenye sifa ya kuwa na ombaomba wengi, despite of being in abject poverty na kupigwa na wateule wa Yule, still wanatiririka damu za kijani. Ulishasikia mkoa ule kuna mbunge wa chama kingine? Ndo ujue, Wonders shall never end

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo hivyo na mkoa ule ulio neemeshwa na CCM kuliko mikoa mingine wamevimbiwa hawaitaki CCM wanataka wawe kama ule mkoa ulioutaja. Yaani wa chague chama amabacho hawana uhakika kama kitawaendeleza - sababu ya tamaa (kuuabata mtaga yai la dhahabu). Na haya ndiyo yaliyokuwa 2015! Wonders shall never end!
 
Watanzania 2020 tusimame kwa pamoja kuukataa uongozi huu bila kujali dini zetu, makabila yetu, kanda zetu wala hali zetu za kiuchumi.

Pole mkuu; ila andika umeumia tu. Watanzania wako hawajafikia umri wa kuwaza kama watu wazima. 2019 mweli wa November, tutapunguziwa kodi kwenye mafuta ya petrol wakati magari yoote yeshajifilia kwa kukosa uwezo wa vu]ipuri, kutatokea ajira za kujaza nafasi hewa zilizo gundulika 2015, hadi mwaka huo zikiwa wazi, kutakuwa na ruksa ya mikutano ya hadhara 10 kwa kila mkoa, yaani usiombe.
Katika mchanganyiko huo, yeye atajipitia na agenda moja tu. Nimewafunga mafisadi sasa naachia fedha kwa wanyonge. Hata weye utakenua jino la sikukuu kwa kupigika utakakokuwa ushapigika.
 
Hivi ni sehemu gani ktk hii nchi hakuna vilio.
Na kama ndiyo hivyo hayo matumaini tunayojipa yanatoka wapi binadamu hubadilika kutokana na mazingira husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye fikra na akili ya "kulipa kisasi" ni mtu hatari sana katika jamii ya Kitanzania. Hii inaonyesha dhahiri ya kuwa wengi wenu mmevimbiwa na sumu ya Chuki, uadui, ukabila na uzandiki. Bila kusahau dhambi ya ubaguzi. Kuna njia sahihi ya kuikosoa na kuishauri serikali, sio kwa maneno haya ya chuki na ubaguzi.
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Tuepushe na nia ovu za wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania kwa nia njema....Amina.
*Mnajichosha tu, mkijikusanya kwenye mitandao mnadhani mnaweza mkafanya kitu, watumia mitandao hamfiki hata ml.1 ilhali wapiga kura hawajui hata jf inafananaje,,jipeni moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom