tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,388
- 2,000
Wilaya ya Kibiti ni miongoni mwa wilaya za Mkoa wa PwaniKibiti nayo iko pwani au?
Wilaya ya Kibiti ni miongoni mwa wilaya za Mkoa wa PwaniKibiti nayo iko pwani au?
si kweliungejua hakuna mkazi yoyote wa pwani anaesoma shule hizo!
Kuna jambo la kujifunza hapo.punguza hasira.Kwani wewe unataka kujifunza nini hapo!
Naona umeng'ang'ana tunajifunza nini! tunajifunza nini!
Mafunzo unayotaka kuyapata nenda kagombee uongozi wa ccm kibiti.
Shirika la elimu kibaha ambalo ni la serikarMmiliki wa kibaha secondary ni nani
Post sent using JamiiForums mobile app
Shule ya serikaliMmiliki wa kibaha secondary ni nani
Post sent using JamiiForums mobile app
Kibaha iko chini ya umiliki wa serikaliSimfahamu na usichukulie point hiyo kwa upekee wake maana nimweka mbili.
Ila hoja yangu ni kuwa kuna uhusiano gani wa moja kwa moja wa mafanikio ya shule hizo, wanafunzi na mkoa wa Pwani. Hao watoto wameshamaliza shule na uwezekano wa kurudi mkoani hapo kurejesha mafanikio yao ni.l mdogo sana. Kifupi uhusiano wao na mkoa haupo. Asilimia 99 sio asili yao mkoa wa pwani unless mtoa mada afafanue hoja yake.
Unajifunza nini?Hakuna Uhusiano Kat Ya Mkoa Na Shule Labda Kwa Znazomilikiwa Na Serikali Mf. Kibaha. Lkn Hzo Za ST.Flan Ni Mikakati Ya Wamiliki Kibiashara, So Hata Ingekua Ipo Nanjilinji Bado Wangefaulu2. Wengi Watoto Wa Wenyenazo Na Wanatoka Sehem Tofaut Tofauti, Lkn Co Mbaya Kushangilia Gor Maiya Wkt Ikisheza Na Evarton Ktk Uwanja Wa Taifa, Ni Swala La Uzalendo Tu.
Hayo yote yameanza kufanyika uwekezaji wake toka awamu ya nne.Tunayoyaona ni matunda ya Dr Kikwetena kwa takwimu zilizopo Mkoa huu pia unajengwa viwanda vingi kwa sasa kuliko pengine popote sijui nini siri ya haya yote
Kama Mkoa umefanya vizuri kwa kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania tusiusifie au unataka tuseme nini?Hongera wanafunzi na walimu.
Mleta uzi acha porojo na ushilawadu wa kutenga nchi kimikoa au kikanda.
Kama Mkoa umefanya vizuri kwa kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania tusiusifie au unataka tuseme nini?
Mbona Dar ilipofanya vibaya kila mmoja alipaza sauti.
Nachojiuliza ni kwanini watz wanapingana na takwimu za Necta!!Ndio Najifunza Tramadol, Una Lingine La Kuuliza Nikusaidie?
Kwa wanaotaka kufanya mitihani ya form6 ni kweli wanaweza kwenda kujifunza! (bashite zero brain included)Kuna jambo la kujifunza hapo.punguza hasira.
Nayo imepongezwa sio?Wilaya ya Kibiti ni miongoni mwa wilaya za Mkoa wa Pwani
wewe ni kati ya wenye akili tujualo majority wanajua ni kazi ya sizonjeHayo yote yameanza kufanyika uwekezaji wake toka awamu ya nne.Tunayoyaona ni matunda ya Dr Kikwete
Kigezo ni mahali shule ilipo,sio wanafunzi au wamiliki wanapotoka.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kibaha iko chini ya umiliki wa serikali
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us