4ncymelody
Member
- Apr 5, 2017
- 17
- 3
Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language.
Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF.
Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..