Kardinali hajawahi kumtuma mtu kwenda kuchoma msikiti, ni kinyume kabisa na mashehe wanowatuma waumini wa kiislamu kuandamana kumtoa ponda jela, kuchoma makanisa au kuua mapadri.
Alhamisi tarehe 25 Oktoba, mapadri wa Consolata walikwenda baharini kumaliza siku huko Bagamoyo. Ilikuwa ni pale Stela Maris, hoteli mpya kabisa ya kanisa katoliki. Waliingia baharini kuogelea na kusahau taabu za kazi za kitume. Walipochoka waliamua kutoka majini ili warejee nyumbani. Mmoja wao...
Mimi pia mjita, jamaa amekariri sifa za kijinga mara nyingi hadi post limepoteza ladha, halafu hana solution hata moja yeye ni wa kulalama tu, wacha niende jukwaa la mahusiano........
Unajua kuna watu wanajifanya wana hekima sana kumbe hawana kitu, mimi nimeuliza swali la kihistoria na kitafiti wao wananijia juu, halafu wanasema ndio maana hatuendelei. Mbona hawajiulizi kwa nini kuna mtu alikwenda UN na kwa nini mtu asiende sasa UN? Kama huyu Mallada, bure kabisa. Thanks Bin
Pokea hongera zangu mheshimiwa rais kwa kufanya haya yafuatayo kwa ufanisi mkubwa.
1. Umepigana kufa na kupona na kuhakikisha Dr. Slaa hasikii harufu ya ikulu.
2. Hukulala usiku na mchana hadi ulipohakikisha Jakaya anaingia ikulu.
3. Umetumia kila linalowezekana kuhakikisha Sitta haukwai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.